ONYO kwa wanaonunua simu humu

Tumain jipya
duos laini mbili siwezi kukudanganya imetumika siku moja au mbili ila bado ni mpya na inakuja na box lake. Imetumika for four month ila still appears new320,000/=
 
Last edited by a moderator:
Kwa huduma ya ku unlock network za simu za nje ya nchi kama iPhone, blackbery, SONY, HUAWEI, SAMSUNG nk.

contact me 0656181940 au
website www.bestunlocksolution.com

 
Biashara ni maelewano hasa ukijua kifaa ni second hand. Si ndio maana bei inapunguzwa? Hata simu mpya inaweza kuwa na defect sembuse iliyotumika?
 
Nafikiri ndio maana hii classified watu wanauza na kununua uso kwa uso.. najua kuna watu wanauza vimeo ni kweli ila pia kuna wengine ambao wao wanauza za ukweli.. la msingi ni kuwa makini kwenye ununuzi na kuangalia wale wauzaji wenye vifaa vya ukweli. Pole sana kwa msiba uliotataka kukufika kiongozi..
 
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,

wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa

nauza samsung galaxy s5 ni mpya ina siku 5 tu tangu imeingia bei tsh700000/=
galaxy-s5-weather-home.jpg
 
ila kuna raia vichwa vigumu wanakuwa makanjanja kaz yao ni kuchkua vimeo kwa mafundi na kuja kuviuza huku,ingawa kimtindo wamepungua kwakweli,unakuta cm mpya kwa nje!nenda kaifungue ndani sasa ndio utajua kweli utu umetoweka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom