Onyo / Tahadhali......

Suala la wewe kuachika (God forbid) halina ubishi. Sasa ni bora ukaacha wewe ili aibu isiwe kubwa...
Kuhusu kukutongoza hadharani wala usiwe na shaka, nikishakupa moyo wangu mapenzi yetu yatakuwa hadharani, thats why kumpindua Rejao kunahusika kipindi hiki, si unajua kama kula nanasi kwataka nafasi'
Hahaha hahaha hahah,
Rejao hapinduliki coz kwake nimekufa nimeoza,hata nimfumanie simwachi ng'ooo!
Labda ikitokea aniache yeye wala siogopi aibu lol!
Cheki na J'000 nadhan yuko single!
 
Napenda kuwapa tahadhali wanaofanya haya......
1. Kufanya mapenzi bila kinga na hamjapima ni hatari kwa afya yako....

2. Kutopenda kula ni hatari kwa afya yako...

3. Kutumia pesa nyingi kwenye starehe ni hatari kwa uchumi wako....

4. Kutumia lugha za matusi JF ni hatari kwa u-member wako(Bann itakuhusu)

5. Kutokwenda kanisani/msikitini hata mara moja kwa mwezi ni hatari kwa roho yako

6. Kutomridhisha mkeo faragha ni hatari kwa ndoa yako.

7...........

Kuandika thread bila kusalimia members ni utovu wa nidhamu kwa taarifa yako.....
 
Hahaha hahaha hahah,
Rejao hapinduliki coz kwake nimekufa nimeoza,hata nimfumanie simwachi ng'ooo!
Labda ikitokea aniache yeye wala siogopi aibu lol!
Cheki na J'000 nadhan yuko single!

Naona unanilengesha kwa ID yako nyingine, janja ya nyani.
Vipi, tuhamie PM ili tutongozane vizuri?
 
Napenda kuwapa tahadhali wanaofanya haya......
1. Kufanya mapenzi bila kinga na hamjapima ni hatari kwa afya yako....

2. Kutopenda kula ni hatari kwa afya yako...

3. Kutumia pesa nyingi kwenye starehe ni hatari kwa uchumi wako....

4. Kutumia lugha za matusi JF ni hatari kwa u-member wako(Bann itakuhusu)

5. Kutokwenda kanisani/msikitini hata mara moja kwa mwezi ni hatari kwa roho yako

6. Kutomridhisha mkeo faragha ni hatari kwa ndoa yako.

7...........

Hivi.........hiri swara ra kura ni ra razima?????????
 
Hivi.........hiri swara ra kura ni ra razima?????????

Riangarie ri Da'Kipipi reo rinauriuza maswari gani ? Arijui kura ndiyo razima, sijui rinataka nini ! Nitarishtaki porispost rikirudia kuuriza!
Arinijui ?
 
Kutumia ma BBM, ma Whatssapp Ma FB ma Twitter ma Social network ku Add ma Single Girls and Boys ni hatari kwa Ndoa yako kwani una beep zinaa hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom