Onyo - Acha mchezo huu mchafu.

Status
Not open for further replies.

Bi. Senti 50

JF-Expert Member
Apr 17, 2007
290
12
kuna huyu memba ambaye anajifanya anajua kila kitu. Naomba kutuma ujumbe wa wazi kabisa. Tafadhali acha! Hili ni onyo la mwisho. Kelele zako za mambo ya siasa zimekubalika na ni kweli zimekutengenezea jina, lakini hili la sasa ni jambo ambalo ni kinyume na uungwana na lina lango moja nalo ni kuwapaka viongozi matope. Nilikuwa naunga mkono mambo ya Mbowe na Slaa kuwekwa hadharani, lakini naona mambo yote ni ya upuuzi. Nawaomba JF tuungane na kuyakataa haya kwani ingawa yana faida kidogo lakini madhara yake ni makubwa zaidi. Naomba kutoa wazo kuwa mada zote zinazohusiana na mambo ya binafsi kama ya kina Slaa, Mbowe, na Mhe. Kikwete au Waziri wetu Mpendwa Lowassa, yapelekwe kwenye udaku au kwingine. Wengine tumejaribu kuwakaribishwa wakubwa wetu ofisini, lakini leo wengi wametoka wakitikisa vichwa vyao. Nawasihi.

Asante.
 
Bi senti kwa vitisho sikuwezi.
Humwachi Mwanakijiji apumue hata kidogo!
Hizi picha mbona ni fair game hapa!
 
kuna huyu memba ambaye anajifanya anajua kila kitu. Naomba kutuma ujumbe wa wazi kabisa. Tafadhali acha! Hili ni onyo la mwisho. Kelele zako za mambo ya siasa zimekubalika na ni kweli zimekutengenezea jina, lakini hili la sasa ni jambo ambalo ni kinyume na uungwana na lina lango moja nalo ni kuwapaka viongozi matope. Nilikuwa naunga mkono mambo ya Mbowe na Slaa kuwekwa hadharani, lakini naona mambo yote ni ya upuuzi. Nawaomba JF tuungane na kuyakataa haya kwani ingawa yana faida kidogo lakini madhara yake ni makubwa zaidi. Naomba kutoa wazo kuwa mada zote zinazohusiana na mambo ya binafsi kama ya kina Slaa, Mbowe, na Mhe. Kikwete au Waziri wetu Mpendwa Lowassa, yapelekwe kwenye udaku au kwingine. Wengine tumejaribu kuwakaribishwa wakubwa wetu ofisini, lakini leo wengi wametoka wakitikisa vichwa vyao. Nawasihi.

Asante.

Kawatishie watoto wako huko nyumbani kwako...haya mambo ya trick or treat hapa hayatafanikiwa
 
kuna huyu memba ambaye anajifanya anajua kila kitu. Naomba kutuma ujumbe wa wazi kabisa. Tafadhali acha! Hili ni onyo la mwisho. Kelele zako za mambo ya siasa zimekubalika na ni kweli zimekutengenezea jina, lakini hili la sasa ni jambo ambalo ni kinyume na uungwana na lina lango moja nalo ni kuwapaka viongozi matope. Nilikuwa naunga mkono mambo ya Mbowe na Slaa kuwekwa hadharani, lakini naona mambo yote ni ya upuuzi. Nawaomba JF tuungane na kuyakataa haya kwani ingawa yana faida kidogo lakini madhara yake ni makubwa zaidi. Naomba kutoa wazo kuwa mada zote zinazohusiana na mambo ya binafsi kama ya kina Slaa, Mbowe, na Mhe. Kikwete au Waziri wetu Mpendwa Lowassa, yapelekwe kwenye udaku au kwingine. Wengine tumejaribu kuwakaribishwa wakubwa wetu ofisini, lakini leo wengi wametoka wakitikisa vichwa vyao. Nawasihi.

Asante.

....nenda kawatishie wendawazimu wenzako sio hapa mshamba wewe!
 
UKWELI MTUPU !!

wasubiri dozi zao ziko njiani kuwa shifted !! sijui watazipokeaje, kama sijafukuzwa JF sijui !!
 
muungwana angekuwa anajiheshimu asingewakumbatia mafisadi..
asingemgombania hoyce temu yeye na John cheyo mwaka 2002.
 
kuna huyu memba ambaye anajifanya anajua kila kitu. Naomba kutuma ujumbe wa wazi kabisa. Tafadhali acha! Hili ni onyo la mwisho. Kelele zako za mambo ya siasa zimekubalika na ni kweli zimekutengenezea jina, lakini hili la sasa ni jambo ambalo ni kinyume na uungwana na lina lango moja nalo ni kuwapaka viongozi matope. Nilikuwa naunga mkono mambo ya Mbowe na Slaa kuwekwa hadharani, lakini naona mambo yote ni ya upuuzi. Nawaomba JF tuungane na kuyakataa haya kwani ingawa yana faida kidogo lakini madhara yake ni makubwa zaidi. Naomba kutoa wazo kuwa mada zote zinazohusiana na mambo ya binafsi kama ya kina Slaa, Mbowe, na Mhe. Kikwete au Waziri wetu Mpendwa Lowassa, yapelekwe kwenye udaku au kwingine. Wengine tumejaribu kuwakaribishwa wakubwa wetu ofisini, lakini leo wengi wametoka wakitikisa vichwa vyao. Nawasihi.

Asante.

Kanzu mpya shehe.......
 
Kama Bi senti 50, amefikia hatua ya vitisho basi ni wazi hizo picha ni aibu. lakini kumbuka Mwanakijiji alitahadhalisha mapema kwenye ile thread ya Slaa kwamba watu wakianza matope wasije wakalalamika maana watu wanajua mengi. mimi sijaziona hizo picha kwa sababu naona X tu hapa.

Ushauri wangu ni kwamba Mwanakijiji, hifadhi zilizobaki maana wamekiri kwamba matope ya ngono hayafai. watu husameheana na kwa hili linatosha na nina imani hakuna mtu atakuja na mambo ya kashfa za ngono kuwahusu viongozi fulani eti kwa sababu ya kutetea maslahi ya Taifa.

Wazo ndio hilo. weka benki hizo zingine incase.
 
kuna huyu memba ambaye anajifanya anajua kila kitu. Naomba kutuma ujumbe wa wazi kabisa. Tafadhali acha! Hili ni onyo la mwisho. Kelele zako za mambo ya siasa zimekubalika na ni kweli zimekutengenezea jina, lakini hili la sasa ni jambo ambalo ni kinyume na uungwana na lina lango moja nalo ni kuwapaka viongozi matope. Nilikuwa naunga mkono mambo ya Mbowe na Slaa kuwekwa hadharani, lakini naona mambo yote ni ya upuuzi. Nawaomba JF tuungane na kuyakataa haya kwani ingawa yana faida kidogo lakini madhara yake ni makubwa zaidi. Naomba kutoa wazo kuwa mada zote zinazohusiana na mambo ya binafsi kama ya kina Slaa, Mbowe, na Mhe. Kikwete au Waziri wetu Mpendwa Lowassa, yapelekwe kwenye udaku au kwingine. Wengine tumejaribu kuwakaribishwa wakubwa wetu ofisini, lakini leo wengi wametoka wakitikisa vichwa vyao. Nawasihi.

Asante.

Wewe kizuka, ebu acha kutishia watu wazima paka.......au ndio mambo ya Halloween nini??
 
bi senti 50 wewe wasilisha kile NAFSI yako inachofikiria, regardless ya watu watakavyoarespond !

wataalamu wanakwambia any gun play that is an option !
 
kuna huyu memba ambaye anajifanya anajua kila kitu. Naomba kutuma ujumbe wa wazi kabisa. Tafadhali acha! Hili ni onyo la mwisho. Kelele zako za mambo ya siasa zimekubalika na ni kweli zimekutengenezea jina, lakini hili la sasa ni jambo ambalo ni kinyume na uungwana na lina lango moja nalo ni kuwapaka viongozi matope. Nilikuwa naunga mkono mambo ya Mbowe na Slaa kuwekwa hadharani, lakini naona mambo yote ni ya upuuzi. Nawaomba JF tuungane na kuyakataa haya kwani ingawa yana faida kidogo lakini madhara yake ni makubwa zaidi. Naomba kutoa wazo kuwa mada zote zinazohusiana na mambo ya binafsi kama ya kina Slaa, Mbowe, na Mhe. Kikwete au Waziri wetu Mpendwa Lowassa, yapelekwe kwenye udaku au kwingine. Wengine tumejaribu kuwakaribishwa wakubwa wetu ofisini, lakini leo wengi wametoka wakitikisa vichwa vyao. Nawasihi.

Asante.

Wewe ni nani hasa mpaka uje kutuamulia kwenye ukumbi huu nini cha kuandika!? :confused:
Watu wengine kwa kujikweza jamani!
 
Daaammmn,
Hivi siku hizi jamboforum ukikosa masaa machache, unakosa uhondo? Damn you Damn you guys LOL!!Things come and go so quick?? Geez, give us a chance.
 
sijui kwa nini pale mtu anapokosea, then akatokea mtu na kumwambia fulani umekosea, yaani yule aliyesema atachukuliwa kama adui !

nadhani ni vizuri kuamshana humu maana wengine wanaonekana kulala usingizi mzito !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom