Only my repost

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
jamaa mmoja muongo alikua kijiweni anawahadithia watu jinsi alivyokua akimkimbiza swala porini akaishia kwamba " nikamkamata nikamlaza chini" ghafla kabla hajaendelea simu yake ikaita akaenda pembeni kupokea, washikaji wakawa wanamsubiria kwa hamu ili arudi aendelee, alivyorudi akawauliza hivi niliishia wapi? wakamwambia " umemkamata ukamlaza chini" jamaa akasema enheee, basi nikaanza kumvua nguo taratiibu huku nikimkumbatia na kumla madenda, washkaji wakashtuka na kuguna mmmh!! aaaaah! si alikua swala? jamaa akshtuka akasema aaaahaaa, nimekumbuka nikaanza kumchinja! washkaji hoiiiiiiii:
 
Hii kuna mdau alishairusha humu. But thanks kwa kutuvunja mbavu once again.
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom