only in PAKISTAN

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
821
parkistan2.jpg

parkistan.jpg

parkistan1.jpg

parkistan3.jpg

hahahahaah...! Time keeper
 
Hawa jamaa wanamambo ya kufikirika kuliko nchi ya Kusadikika!
 
Nilisafiri kwa gari toka Islamabad hadi Lahore na ukweli niliona mambo. Halafu hawa jamaa wana ile hashish nyeusi (afghan) ukiivuta jasho litakutoka!
 
Hawa jamaa me huwa nachelewa sana kuwaelewa. But inawezekana alikuwa anarekebisha saa baada ya tatizo fulani la kiufundi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom