Only god can feel vacum of lolneliness

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,052
Kuna watu wamekuwa dedicated na ukoo awataoa kabisa kabisa
ndio maana utakuta kuna mabinti wazuri kweli ama wanaume handsome
ukimtajia mwanamke/mwanaume aoe anaruka kimada na umri unazidi kusonga mbele

asikudanganye mtu hiyo ni spirit ya shetan ambayo aitakiwi kabisa na kama uamini
kundi hili limekuwa na nguvu hadi kushauri watu kuogopa kuoa ama kuolewa wakidai
maisha magumu oooh wanajiandaa nani kwambaia bwana unajiandaa miaka 40 ??
Silalamiki kwa nini ujaoa ama kuolewa nasema hivi nikimaanisha kuna watu wamekuwa wakizeeka
nakujipa moyo wangu kutoka kwa mungu bado....

Hii hali ya kujipa moyo inawafanya wanaishia kwenye uzinzi na wengine hata kuishia kufariki
kutokana na kuzoea milupo wakijipa moyo..lazima leouanze kujitoa na hiyo demons spirit
acha kujipa moyo anza kusali kama mwendawazimu ..jiulize kwa nini wewe unaishia kutoa michango kila siku
wengine..wapo wanaoteseka bila kujijua wazazi wao waliwadedicate waendelee kuishi majumban kwao na kufanywa misukule ya familia wakijifikiria kuondoka kwao wanasikia kama wanachapwa bakora...

Lazima tufike tujue ndugu zanguni kama unafanya kile unachopenda uwezi kuwa mpweke mwenyewe
hata yesu alikuwa na wanafunzi wake si kwamba alishindwa kuwa mwenyewe lakini kuna wakati alikuwa
anaitaji watu kufanya majukumu fulani

vivyo hivyo wewe kijana ufike wakati ujue hata ukiwa na maliza na pesa kiasi gani lazima
unaitaji mtu wa kukusaiidia...wa kukupa maoni kukuliwaza pale ukiwa na shida

pengine u dont know how to keep your reln ship be patient
kjitahidi uwaze mungu akupe ufahamu uweze kutoka hapo ulipo..najua sio wewe ila
nakwambia ukweli wengi wanateseka kwasababu ya mapepo na yale ya mababu zao
waaliotambikiwa ..kat kitovu cha famailia kama uuaitaji kujitoa huku email
denismandia@yahoo.com
free prayers
 
Back
Top Bottom