Only genius can answer this : Ni muda gani ambao "Moderators wa JF huwa wamelala?"

Saa ngapi kk?
Maana ukiandika utumbo humu hata saa tisa ya usiku ni lazima waudhibiti
Sasa hawa jamaa huwa wanalala saa ngapiii
 
moderators huwa hawalali.
Nisawa na kusema mlinzi analala saangapi ilihali analinda. Hivyo badili swali mkuu, ili upate jibu.
 
Saa ngapi kk?
Maana ukiandika utumbo humu hata saa tisa ya usiku ni lazima waudhibiti
Sasa hawa jamaa huwa wanalala saa ngapiii
Sidhani kama wanakua macho time hiyo. Ila nadhani post za late night ukizipublish zinakua suspended/pending mpk asubuhi wakiresume majukumu yao na kuicheki post kama ina vigezo au laah.
Nakumbuka niliwahi kuandika uzi sa 9 hiv ya usiku baada ya kupublish sikuoona mpk kesho yake majira fulani hivi ya mchana.
 
Back
Top Bottom