Online radio

Mathias

Senior Member
Apr 22, 2009
118
12
Wakuu habari
Naomba wenye link za online radio aswa zenye kupiga miziki yenye asili ya kiafrika wa-post link zake hapa. Nimekuwa nikisikiliza radio moja "http://www.soukousradio.com/" inapiga soukous na ndombolo ni kitambo sasa, mpaka nahisi nimeshasikiliza collection yao yote.
Nitangulize shukrani kwa wote watakao kuwa na useful links.
 
Back
Top Bottom