Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,181
Kwa mtu anayeweza kufanya e banking, e tax na e drinking na e love na e transport, kweli hawezi kukata kadi ya CDM. Yupo Tanzania? Hii itakuja baada ya 2015. Kwa haya Ma CCM hayo yalishashindikana. Angalia ATM zinavyokomoliwa. Yaani unategemea uwalipe CCM wakuletee bidhaa nyumbani? Duhhh. Hiyyo ni baada ya 2015.technology inabadilika mkuu, hata kama utakataa njia hii leo lakini utaikuta mbele ya safari, kuna vitu kama e-commerce havikwepeki, techonogy is moving very fast, kuna siku utafanya shopping ukiwa nyumbani kwako, unalipa online na vitu vinaletwa baada ya muda. kuna siku hutatumia cash kufanya transaction yoyote hili limeanza na linakuja kwa kasi ya ajabu.
e-commerce, is a type of industry where buying and selling of product or service is conducted over electronic systems such as the Internet and other computer networks