Online competition searching for miss JF 2011!

wakati washiri wetu wa Miss jf with Brain wakiendelea kutafakari na kutafakuri hili shindano

napendekeza kuwepo na kumsaka MR JF with brain muscles.
Tuchangie vigezo viwe vipi afu tutachagua washiriki.

hii ya Mr JF hata mimi nitapendekeza! Merry Christmas!
 
..Pongezi zangu in advance kwa washindi...:A S 465::A S 465:
 
Ina maana hwa wote watafanyiwa "usaili" na Lundenga, au hili shindano linakiuka kanuni na kutomshirikisha yeye?
 
Ooh' Payuka you have misunderstood.... Gaijin is one of the most strong willed and minded person with intelligent inputs but just too critical hapa at JF....

"too critical" kwa mujibu wa kanuni gani za JF?
 
Tatizo moja ni kwamba inawezekana kabisa watu hawajui baadhi ya "sexes" za members wengine kwasababu ya the whats so called "Mfumo dume"

Kuna ambao wako kwenye list na wako regarded as females where as they aren't and vice versa?

I am almost certain there is...
 
Na wewe sijui wamekusahau vipi? Na smile pia.
Smile sawa ila mimi Mwali... sidhani. si umeona vigezo hapo? sio kuchangia tu, nikuchangi point! alafu kuonekana unafata habari zinavoenda... MI nimekalia kuuliza maswali tu (nimekaa ki-learner zaidi, sio great thinker)

Mwali, btw kuna mdada humu anafana sana na wewe, unaonaje?
YouTube- Bata By OFFSIDE TRICK feat MZEE YUSSUPH moejoe.mp4 moejoe.mp4 - YouTube
La Hawla wala Quwwata! Kwa kweli itabidi nikafanye plastic surgery... hivi umenifananisha na yupi hapo? mbona wanaonesha parts zingine tu, sio uso?
 
Back
Top Bottom