Online competition searching for miss JF 2011!

sasa yamekuwa ya mchina eeh!!
Mlipokuwa na shida mlijiliza hadi nkawaonea huruma
yaleteni tu ntayashona
basi naomba kope hata vinywele 12 kila jicho kwa ajili ya swaga tu, ntaongezea mascara

we makalio yako ya mchina mi yangu ya mzungu. Lol. Preta aliyachukua kabla hayajafika ila anasema kalio moja limetoboka.
 
Tupige kura hadi wana MMU wataporidhika
au wewe ndo jaji au mhesabu kura?

Gaijin asante sana kwa kujitokeza na kujipambanua, binafsi napenda michango yako maana huwa inanifanya nitafakari. Japo umekwazika lakini naamini hii post yako inazidi kukupa credits za kuchukua hili taji. Mpaka sasa nadhani ni wewe na ashadii mliojieleza. Tutaweka timeline hadi juma 3 ili mmalize kujieleza nasi tupate muda wa kupiga kura. Mpaka kufikia tarehe 27 tutakuwa tumepata mshindi wetu.
 
hahhahaa Payuka bwana,na limwili hili unataka kunishindanisha umiss? nitoe bwana lol
 
sasa yamekuwa ya mchina eeh!!
Mlipokuwa na shida mlijiliza hadi nkawaonea huruma
yaleteni tu ntayashona
basi naomba kope hata vinywele 12 kila jicho kwa ajili ya swaga tu, ntaongezea mascara

we nawe umezidi kuazima, safari hii hupati kope wala nyusi. Lazima ukose shefa la kukutoa. Lol. Ngoja nimpigie preta ayarudishe, msinipe kesi.
 
Miss. . . ?
Unajua wengine ni watu wazima na wajukuu?

Angalau ungeiita mwanamke wa shoka au jina lingine lisilokua limited.
 
Payuka

Naamini umeanzisha shindano hili kwa nia njema kabisa lakini kwa upande wangu sikubaliani na mashindano ya aina hii. Kwa nini basi?

Kwa sababu ninaamini kuwa wanawake ni sawa na wanaume katika kila kitu isipokuwa masuala yanayohitaji nguvu za mwili (Hata hapa kuna school of thoughts zinazosema kuwa usawa uko wakati wote, na ndio maana watoto wakike na wakiume hawana tofauti kwenye ubora katika michezo)

Kwa maana hiyo basi, tunapotaka kutafuta missJF inaamisha kuwa thamani ya mchango wa kiakili (intelligence) wa member wanawake hatuupi hadhi sawa na ule wa wanaume kiasi cha kuwa lazima tuwalinganishe wanawake wenyewe kwa wenyewe, wakati kimsingi jambo hilo si kweli na ndio maana huwezi kuta vyuo vikuu vinatoa tunzo ya mwanafunzi bora wa kike kwa sababu ni kuwavunjia heshima
Hatuwezi kuwa na yote. . . Wanawake kwa wanawake, Wanaume kwa wanaume na Wanawake kwa wanawake?

Sawa na kunapokua na mashindano mengine kwamba kunaweza kuwa na makundi yanayoamuliwa na umri (bila kujali jinsia), yanayoamuliwa na wanachoshindania wahusika (bila kujali umri wala jinsia), yanayoamuliwa na jinsia (bila kujali umri, kinachoshindaniwa, kupendelea jinsia moja kana kwamba ni bora kuliko nyingine)???
 
Ujumbe wako sijauelewa
 
Lol! Vekesheni spain wamekataza kupiga kura za wikileaks. Hehehe, sasa Voda ushawastua?
please Kingasti, ongeza chaji kwenye vocha yako. Tunatakiwa kumpigia kura mla cha Arusha mmoja hapa.

Oooh am loving this.
 
wakati washiri wetu wa Miss jf with Brain wakiendelea kutafakari na kutafakuri hili shindano

napendekeza kuwepo na kumsaka MR JF with brain muscles.
Tuchangie vigezo viwe vipi afu tutachagua washiriki.
 
Mshindi atapatikana kutokana na jinsi posts zake zinavyomuelezea yeye alivyo, vigezo vya msingi tutakavyoangalia ni kama vifuatavyo:
1. Sense of humour, love, kindness etc
2. Level of maturity
3. Special skills in certain fields ( hawa wanachangia vizuri zaidi kwenye threads zenye kuhitaji utaalam mf. Sheria, udaktari, uchumi, saikolojia n.k)
4. Someone never uses abusive language to stress her points.
5. Ability to post relevant topics in specific forums.
6. General awareness of different things ( anasoma magazeti, anasikiliza redio, ana watch TV, ni member wa social networks n.k)

Kwa kuanza napendekeza wafuatao wapigiwe kura ( mtanisamehe na kunisahihisha kama wengine atakuwa si wanawake, ila nimejitahidi kufuatilia posts zao ili kutambua jinsia zao)

1) Gaijin
2) Miss Judith
3) Preta
4)
5)
6)
7) Maria Roza
8) Neema
9) Chauro
10) Faiza Foxy

i smell anko lundenga over here...:shock:
 
Hujaelewa nini?
Swali la kwamba kuna ubaya gani kukiwa na mashindano yanayohusisha wanawake tu kama ambavyo yapo yanayohusisha umri fulani pekee?

Kwanini unadhani yanakuwa ya "umri fulani pekee"?
 
Huu upuuzi utaisha lini? Mwaka jana ilikuwa hivi hivi. Mwaka juzi nayo hivi hivi.

It's nonsense.
 
napendekeza kuwepo na kumsaka MR JF with brain muscles.
Tuchangie vigezo viwe vipi afu tutachagua washiriki.

Hands down, no ifs, ands, or buts about it, it's it's the incomparable jmushi1. The smartest man ever to ever join JF. If you don't believe me just ask him and he'll tell you himself.
 
Kwanini unadhani yanakuwa ya "umri fulani pekee"?

Nimekupata kwamba ni kwasababu uwezo wao
katika wanachofanya unakua unakaribiana kama sio kulingana.
Ila kwa upande wa jinsia hatuwezi kuwa na yanayohusisha jinsia zote pia yanayozitenganisha bila kuzilinganisha ??
 
Hili mimi nimelisema kwenye post yangu ya kwanza humu, kuwa siamini kuwa lipo hususan kwenye mambo yanayohusisha intellect ya hizo jinsia mbili
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom