Ongezeko la watoto Yatima na JKT

Domenia

JF-Expert Member
May 26, 2009
462
22
Kila kukicha idadi ya watoto yatima ina ongezeka..Watoto wana shinda na kukesha kwenye mazingira ya hatari..Huku viongozi wakila na kunywa...

Ajabu ni pale watoto hao wana po kamatwa na police...wengine ni wauzaji wa madawa ya kulevya/kama Bangi/Gundi... Cocain ....Police hawa shituki kwamba ni hao hao watoto wa mtaani watakuja kua majambazi wa kutisha si muda mrefu....Tena kazi ita warudia...

Kwanini JKT isitumike kuwalea watoto wa mtaani?/ Vijana wengi wapo mitaani bila kazi endapo serikari ita wapatia ajira au Vyovyote vile tuta weza kwa kupitia JKT....JKT ina weza kutoa Mafano wakuwalea watoto hawa wa mtaa ni...kwa kuwapa malezi bora...shule/malazi...na mafunzo ya uadilifu

Lakini hawata fundishwa mafunzo ya kijeshi...

Itakua ni Vizuri endapo serikari iatatoa mafuzo Na mifano kwa jamii jinsi ya kuwalea watoto yatima...

JKT inaweza kuzalisha Chakula..
JKT ina weza kuwafundisha watoto Ufundistadi
 
Back
Top Bottom