Ongezeko la wachina kariakoo

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Ongezeko la wachina K/Koo ambao ni wamachinga litasababisha kuongezeka kwa machotara kedekede baada ya miaka 25, nahisi majina yatakuwa kama ifuatavyo.
1.Masawe ji sung
2.Donggwakisa shunhui
3.Hua Ole Naiko Qing
3Tian Mkapa park ji sung

Rafiki zangu wangoni itakuwa
4.Kombaxing chwan hu
5.JangMapunda samsung
6.Matemboxing jang xinhua

Wengine
7.Marwa jing Tao
8.Rugarabamung Xiao
9.Xing Rutashobya phoenix

Na watoto feki kibao mitaani
 
Haswaaa!!!

Halafu ndio haya mambo ya mchina na mke wake mchina wanazaa mtoto mweusi anamwita 'Sum Ting Wong'

Demu wa kichina anazaa na bosi wa uhamiaji na mtoto anaitwa 'Cit Zen Ship'

Kaka mchina amekuja na dada yake mchina kazaa na mchaga anampa jina mpwa wake 'Don go Hom'
 
Duh, hii kali rafiki yangu. Bila shaka kwa wakurya kutakuwa hakutoshi
CHACHARITO TING GANG JU WAIREMA.
 
yaukwel hii na niukwel m2pu ila cjui kitakuwa kinazungumzwa kiswakichina au chnakiswa kaz kwel kwel au itakuwa lugha mama yan mfano kichagakichna
 
kutakuwa na watoto wengi wa kuchakachuliwa,kichwa cheupe cha kichina,kiwiliwili cheusi cha mbongo
 
Back
Top Bottom