Ongezeko la talaka,kufumaniana,mashoga,na wanaume suruali ipi tiba!!

kazuramimba

Senior Member
Jun 14, 2011
126
57
katika jamii za kale ilikuwa ni kitu cha ajabu kusikia neno shoga au kusikia eti dume jogoo hawiki! Au eti nikianza kulima jembe linaishiwa nguvu! Na wengine hadi shamba huliandaa kulilima hawezi But 2 day ni jambo la kawaida wanaume wamebakia majina tu! Au kwa lugha nyingine wanaume suruali yaani Jogoo kwisha habari yake: Mabango yanayo hamasisha dawa za kuamsha mpini yanazidi kuongezeka,mashoga yaanpi wanaume ambao si riziki nao ni wengi balaa hapa tandika wana dangulo lao ukiwauliza kwanini wafanya hayo wanadai kama jogoo hawiki wafanyaje? Wanatolea mfano wa baba yao Eltoni john.,Pia ongezeko la talaka kisa mama miaka mitatu hajapewa soseji na mayai mawili,lakini pia ongezeko la mafumanizi na wengi wanaofumaniwa sasa ni wanawake tofauti na zamani.kwa upande mwingine makahaba nao biashara hailipi tena kama zamani kisa wateja wao nao majogoo yao kushnei so hawaendi coz wataliwa pesa bure., Jamani mwenye tiba ya kufanya jembe liwe trekta atuambie ili tuimarishe ''KILIMO KWANZA''..
 
tatizo wengi ujanani walipiga sana pul! Ndo basi tena.siku hizi akina dada hata kufuli hawavai lakini wanaume hata hawashtuki! Lol!! Ukigusa hapo chini pametulia tuli kama maji ya mtungini khaa.!!!
 
Ni tatizo la kisaikoloji kwa kiasi kikubwa. Kuongezeka ugumu wa maisha, migogoro katika maisha ya kila siku ni chanzo cha matatizo yote hayo. Watu wanatakiwa wakubali kuwa maisha yamebadilika na wanatakiwa kuendana nayo kwa kukubaliana na stresses za kila siku. Kikubwa watu wanatakiwa kujifunza kusameheana ili mambo yasikae kichwani muda mrefu ili kuepukana na tatizo hilo!
 
ina maana kuna siku hao watembea uchi watakosa watu wa kuwashughulikia?

itakua hatari sana kwa kweli tutafute nia ya kuliokoa taifa na janga hili
 
Tena na haya mavyakula ya kisasa tunayokula ndo balaaa kabisaaaa! nguvu za kiume zitaendelea kupungua kizazi hadi kizazi.
 
Ni tatizo la kisaikoloji kwa kiasi kikubwa. Kuongezeka ugumu wa maisha, migogoro katika maisha ya kila siku ni chanzo cha matatizo yote hayo. Watu wanatakiwa wakubali kuwa maisha yamebadilika na wanatakiwa kuendana nayo kwa kukubaliana na stresses za kila siku. Kikubwa watu wanatakiwa kujifunza kusameheana ili mambo yasikae kichwani muda mrefu ili kuepukana na tatizo hilo!
Thanks mkuu kwa kiwango kikubwa umenifunguwa macho ni meanza kuelewa kiini cha tatizo thakx wakuu kwa michango yenu.Coz hofu yangu ni kuwa vizazi vijavyo ndo itakuwa balaa zaidi.
 
Kupigwa vita jando kwa vijana matokeo yake ndo haya tunaoa/kuolewa tukiwa mbumbumbu wa kuishi kama mme/mke,wanawake wanapenda makubwa mno na hawajuhi kuvumilia wala kutunza siri za ndani mwao

dawa ni moja tu,kupiga vita utandawazi wa mavazi,kwa mfano unapoongelea wakiume kupiga puli ni kutokana na mambo mengi wanayoyaona si mitaani,kanisani,shuleni,kwenye magazeti,video n.k na matokeo yake mwenye hisia kali hata kama hana demu/mke itabidi akatafute the way out kwa kupiga puli n.k

nahisi miaka20 ijayo 65% ya wakiume watakuwa impotent na hapo ndo itakuwa balaa make familia zitakuwa no longer in survival.
 
Ni tatizo la kisaikoloji kwa kiasi kikubwa. Kuongezeka ugumu wa maisha, migogoro katika maisha ya kila siku ni chanzo cha matatizo yote hayo. Watu wanatakiwa wakubali kuwa maisha yamebadilika na wanatakiwa kuendana nayo kwa kukubaliana na stresses za kila siku. Kikubwa watu wanatakiwa kujifunza kusameheana ili mambo yasikae kichwani muda mrefu ili kuepukana na tatizo hilo!

You have answered it more reasonable and maturely! Thanks
 
Unajua ni rahisi sana kusema kwamba wanaume wamebaki suruali tu. Wadada wenzagu, tuna hakika na sisi tatizo hili halipo kwa upande wetu?
Na kama lipo likoje?
 
Tatizo ni kuwa akina dada poa wameshazoeleka. Watu wameshaona mapaja mengi tokea vimini vihalalishwe TZ. Hivyo, Issue siyo kuwashughulikia ili ni mchujo wa kazi yao.
 
katika jamii za kale ilikuwa ni kitu cha ajabu kusikia neno shoga au kusikia eti dume jogoo hawiki! Au eti nikianza kulima jembe linaishiwa nguvu! Na wengine hadi shamba huliandaa kulilima hawezi But 2 day ni jambo la kawaida wanaume wamebakia majina tu! Au kwa lugha nyingine wanaume suruali yaani Jogoo kwisha habari yake: Mabango yanayo hamasisha dawa za kuamsha mpini yanazidi kuongezeka,mashoga yaanpi wanaume ambao si riziki nao ni wengi balaa hapa tandika wana dangulo lao ukiwauliza kwanini wafanya hayo wanadai kama jogoo hawiki wafanyaje? Wanatolea mfano wa baba yao Eltoni john.,Pia ongezeko la talaka kisa mama miaka mitatu hajapewa soseji na mayai mawili,lakini pia ongezeko la mafumanizi na wengi wanaofumaniwa sasa ni wanawake tofauti na zamani.kwa upande mwingine makahaba nao biashara hailipi tena kama zamani kisa wateja wao nao majogoo yao kushnei so hawaendi coz wataliwa pesa bure., Jamani mwenye tiba ya kufanya jembe liwe trekta atuambie ili tuimarishe ''KILIMO KWANZA''..

Hah hah hah ... Mkuu, hapa "pekundu" umenipata. Kwa hiyo tuwavamie wamasai watuwezeshe pembejeo ili tukuzie mashamba yetu kama kanuni ya kuimarisha kilimo kwanza??????????
 
ina maana kuna siku hao watembea uchi watakosa watu wa kuwashughulikia?itakua hatari sana kwa kweli tutafute nia ya kuliokoa taifa na janga hili
Naam ! wenzetu wazungu walianza hivyo hivyo ! Mademu wao kuvaa mara vipensi, mara vichupi, wakijidai Oo! tupo beach baadae ma meni wakazoea kuona vile vipaja msisimko ukaisha. Nchi zenye desturi ya wamama kuvaa baibui 'wanaume suruali' kama wapo basi ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom