Ongezeko la 100% kivuko cha k'mboni mapato kwa siku yashuka!!!

enk

Member
Jan 11, 2012
87
12
Pamoja na mbwembwe Kibuli, Jeuri,Kejeli za JOAN PONG MALOCK Kuhusu sakata la ongezeko la Nauli, Mapato yamepungua kwa siku pamoja na kwamba hata zile takwimu za awali aliongopewa na watendaji wa TAMESA. Inspectors wanabadilishwa kila kukicha kwa gharama lakini kila anayegusa huleweshwa kwa mafungu ambayo kwa hali yoyote hawezi kuchomoa.

Hapo anatakiwa Mzalendo ndo mambo yaende! Wakubwa wanayo akaunti maalumu iliyoshiba ya kummaliza yeyote atakayeinua lolote kukwamisha ulaji. Hata WZR JPM na mwa k iko fungu Watu hawajapigambizi wala kuzungukz Kongowe kwa nini mapato chini kuliko hata kabla ya nyongeza ya nauli?? Pantoni ikisimama hakuna fedha za Matengenezo zaenda wapi?!?
 
Alikulupuka,sas kila siku Panton mambovu,na hata likiwaka linatumia ingine mbili tu badala ya nne kama zamani?na leo panton dogo mpka saa moja kamili asubuhi lilikuwa halifanyi kazi kabisa sijui kama limefanya kazi baadae baada ya mi kuwa nimevuka,MAGUFULI ALIKULUPUKA ahadi yake ya kuwa gharama hizo zilizoongezeka zimeboresha kivuko ni uongo mtupu.
 
Mmmmhhh sidhani kama ni kweli,mapato ya sasa ni mil16 kwa siku mie nipo hapo hapo nafanya kazi ya kukata ticket ndani,nimewekwa kwa ajili ya kuchunguza mapato.
 
Nimeshasema kuwa wapo wanaojaribu kufurukuta kuangalia mapato hayo lakino wananyamazishwa kabla ya lolote MMOJAWAP- NIWEWE nakukumbusha 9M/day baada ya ongezeko la 100% unategemea ngapi hicho unachokitaja ni upotoshaji we kama umeipata nafasio hiyo kweli kula lakini iko siko mtawalipa wa TZ
 
sasa kila kona ni kula kwa kwenda mbele -- ukichelewa ikifika October 2015 jilaumu mwenyewe!! :lol:
 
Labda watu wameona nauli kubwa wamebuni mbinu mbadala za kuvuka hapo pengine kuna mitumbwi inapiga kama vipanya, au watu wenye safari zisizo la lazima wameamua kutulia tu sio kujaza pantoni.

Usimlaumu mapadlock!
 
Back
Top Bottom