Ongezea hapo juu ya Serikali Tukufu na Sikivu kwa 2012

Manager

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
531
73
Wakuu
Mimi si mwanasiasa au mtoto wa mwanasiasa, lakini kwa haya yaliyo chini nimeshangaa!!!!!!!!!!!!! Ongezea mengine


1. Bunge kufumuliwa kwa rushwa na kukosa maadili ya uongozi.

2. Madaktari kugoma, kutishiwa kuuwawa na kuteswa kwa kiongozi wao (picha bado ipo studio, vuta subira)

3. Walimu kugoma, kutishiwa kufa na kunywea

4. Gazeti la Mwanahalisi kufungiwa

5. Udini kushamiri (hakuna tamko)

6. Makanisa kuchomwa moto na mali zao kuharibiwa (hakuna tamko)

7. Watu kugomea sensa kwa sababu za kidini

8. Vifaa vya sensa na malipo kucheleweshwa baada ya maadalizi ya miaka 5

9. Mzee wa vijisenti asafishwa na kupewa promotion

10. Viongozi wa upinzani kutishiwa kufa

11. Ally kuawawa mikononi mwa polisi lakini tamko kagongwa na flying object (mwaka huu mtasikia mengi)


12. Mwandishi wa Habari wa chanel 10 kuuawa na polisi huko Iringa. Kamanda anasema ataka astaafu vizuri

13. Tanzania ni ya pili kwa RUSHWA hapa East and Central Africa (huu ni uonezi, ilifaa tuwe NAMBARI ONE)

14. ONGEZEA HAPO NA CHUKUA HATUA

15.............................................
 
14. Ceremonial President
15. Sleeping PM
16. Innactive Cabinet
17. Pythorn Parliament
18. Hopeless Judiciary
19. Chukua Chako Mapema executives
 
1.kufungia mwanahalisi
2.kuuza rasilimali ya nchi kwa bei cheee
3.maandamano ya wanafunzi bumu halitoshi.
 
Nikikumbuka wale TWIGA wetu nakosa hamu kabisa yakujiita mtanzania
 
30. Jeshi la Polisi kugeuka Holywood (Mabingwa wa kutengeneza sinema)
 
31. Kampuni ya Ortello Business Corporation (OBC) kuchoma kaya na vihenge vya hifadhi ya chakula na hata kusababisha baadhi ya mifugo kuliwa na wanyama pori huko Loliondo bila serikali kuchukua hatua. Nabado serikali ipo kwenye mchakato wa kuwaongezea maeneo zaidi kwa kuwafukuza wa zawa.
 
31. Kampuni ya Ortello Business Corporation (OBC) kuchoma kaya na vihenge vya hifadhi ya chakula na hata kusababisha baadhi ya mifugo kuliwa na wanyama pori huko Loliondo bila serikali kuchukua hatua. Nabado serikali ipo kwenye mchakato wa kuwaongezea maeneo zaidi kwa kuwafukuza wa zawa.
Usilie GIB, na bado kauli za Polisi na Waziri zinatofautiana kuhusu kifo cha Mwangosi
 
Back
Top Bottom