Ongeza siku

Maisha yenyewe mafupi haya! Kwa nini nisikuongezee walau one day? Haya kula hiyo! Ni kijana tourguide akiongea na mtalii kabla hawajapanda mlima.
"To plant mout Kilimanjaro is very president job " kwa maana ya "kupanda mlima K'njaro ni kazi rahisi sana"
Niongezee siku basi na wewe! Kupeana si ni kikoa bwanaa! ?

Judgement ur hipoppotamus aiseee!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tafuta Sredi ina heading "ukistaajabu ya musa ya kiazi " imeletwa na Meeku tena still yet iko online.
Ukishaiona rudi hapa unipe majibu!
Viazi utavitaka!

wangu natumìa kamchina, ngoja ntatafta access ya comp nivione!
 
Maisha yenyewe mafupi haya! Kwa nini nisikuongezee walau one day? Haya kula hiyo! Ni kijana tourguide akiongea na mtalii kabla hawajapanda mlima.
"To plant mout Kilimanjaro is very president job " kwa maana ya "kupanda mlima K'njaro ni kazi rahisi sana"
Niongezee siku basi na wewe! Kupeana si ni kikoa bwanaa! ?

Kwi kwi kwi kwi.....
 
Back
Top Bottom