Oneni huyu mzungu anavyoichafua Tanzania.Hii ni email aliyomwandikia mwenzake

Derick

New Member
Dec 23, 2009
1
0
MY NIGHTMARE IN TANZANIA

From: Ray Bergen

To: Lisana Koliskowski

Hello Lisa

I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania . The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam . And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft.Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.
Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO’s are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania . They don’t even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino.

Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in
Mozambique where we received utmost hospitality.

Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy.

Sincerely,

Ray Bergen.
 
Mzungu yupo sawa. Hapa bongo bana ukiingia kama wewe umetoka nchi ambayo rushwa ni zero degree utadhani ndio umetia mguu jehanamu inayozungumzwa kwenye vitabu vya dini. Mtu unaripoti kuibiwa bado unatakiwa kugharimia upotevu wa mali zako.??
 
Airport Bongo nuksi sana, Ukisahau kuweka kofuli sanduku lako, Hesabu maumivu kama kwa vitu vidogovidogo kama Camera, Simu, Ipod n.k.

Wageni wangu mwaka jana walilizwa hapa hapa Bongo ilikua aibu sana.
 
Usiseme ameidhalilisha Tanzania, hivyo ndivyo tulivyo na vyombo vyetu vya usalama vinavyoendelea kuugua na kuwa mahututi kwa miaka minne mfululizo. Kwani wewe huoni ujambazi huu ulivyo mkubwa? Watanzania wanakufa kila siku na hakuna anayeshituka, sembuse huyo mzungu? Tena ana bahati kweli kurudi mzima.
Nilisikia wizara ya mambo ya ndani JK aliifuta baada ya aliyekuwa waziri wa wizara hiyo kufariki dunia (RIP Masha). Kuna haja ya kumshauri Raisi ateue waziri mwingine atakayesimamia wizara hiyo maana inaonekana ina umhimu mkubwa.
 
Oneni huyu mzungu anavyoichafua Tanzania
Derick, huyu mzungu hajaichafua Tanzania - atachafuaje kilicho chafu tayari ? Yeye anasema ukweli na lingekuwa jambo la maana kama hata sisi wananchi tutakataa kufumbia macho ushenzi kama huu wa baadhi ya watanzania wenzetu. Yahitaji na sisi tusikie uchungu na tuone aibu kwa haya matendo yetu yanayotudhalilisha kwani hayo anayoyasema si mageni machoni/masikioni mwa wageni wengi wanaotembelea Bongo. Haya yote ni matunda ya mfumo wa kifisadi unaofadhiliwa na chama cha mafisadi - na la kusikitisha zaidi ni kwamba tunaanza kufungua matawi hata huko huko ughaibuni. Tutakuja kuogopwa kama ukoma na kutengwa hadi kufungiwa milango bila kukaribishwa hata tukibisha hodi.
 
MY NIGHTMARE IN TANZANIA

From: Ray Bergen

To: Lisana Koliskowski

Hello Lisa

I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania . The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam . And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft.Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.
Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO's are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania . They don't even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino.

Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in
Mozambique where we received utmost hospitality.

Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy.

Sincerely,

Ray Bergen.

Huyu mzungu naye katia chumvi nyingi. Asidai kwamba wanakuja kutusaidia zaidi ya kutupora. Kwa nini asiende kufanya hiyo research yake Botswana au Mozambique. Mbona hakutaja NGO yake. Kweli kuna wizi lakini mimi nimeona ni mwongo tu kutokana na story yake.

Wezi kama yeye hatuwataki yeye alitaka kuingiza gari free ili auze kinyemela na mission zake zilipokwama ndio analialia njaa. Vile vile kama aliibiwa Insurance inalipa kwa nini alikuwa analialia?

Nakumbuka zamani wazungu walikuwa wanakuja na kulia wameibiwa na kupewa police report iliyowawezesha kulipwa Insurance wakirudi kwao, lakini siku hizi polisi nao wamekuwa wajanja ni lazima utoe ushahidi wa wizi na mahali ulipotokea. Wizi wa airport ni airline wa kulaumiwa etc etc.
 
MY NIGHTMARE IN TANZANIA

From: Ray Bergen

To: Lisana Koliskowski

Hello Lisa

I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania . The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam . And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft.Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.
Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO’s are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania . They don’t even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino.

Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in
Mozambique where we received utmost hospitality.

Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy.

Sincerely,

Ray Bergen.

Thanx Muzungu ushawahi tembelea Caracas!! au anachuki binasfi na Tz lol baba tembea uone halafu utoe mikasfa kama hiyo!!!!
 
Hiyo barua inaonekana kwangu mimi kama vile imeandikwa na Mwafrika,Mtanzania labda. Hakiandikwa na mtu ambaye Kiingereza ni lugha yake ya kwanza. T
 
Kwanza nashangaa laptop kupotea. Mara nyingi nikisafiri laptop inakuwa kama hand luggage, sasa itapotea vipi?
 
Tanzania yetu inasikitisha. Ingawa kulinda usalama wa mizigo ya wasafiri sio kazi kubwa kwa airport ndogo kama JNIA (DAR), lakini hata hili inaelekea linatushinda.

Uzembe na rushwa vimetawala nchi kuanzia Ikulu mpaka Polisi kiasi kuwa hata wageni wanaombwa rushwa waziwazi bila kificho.

Nchi majirani na maskini kuliko Tanzania, kama Msumbiji, watasonga mbele na kutuacha na uvundo wetu. Mola tusaidie.
 
Hapo hajachafua, ila ni hali halisi, Ameeleza kilichomkuta! Ila nae ushamba umezidi, kwanin aweke laptop kwenye beg la mizigo?
Ila TZ mazee ukiibiwa kama huna pesa lia tu, inatosha, usijihangaishe kwenda polisi!
 
what is your source? (Hii habari ya zamani kidogo!)

Join Date: Wed Dec 2009
Posts: 1
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Post
 
Jasusi ni kweli laptop itapotea vipi? Unasafiri nayo na unakuwa nayo benet. Awache uongo kwa hilo.

Vile vile kama amefuata mkondo wa kawaida wa kufanya clearance ya kutoa gari, imekuwaje yeye amelipa kuliko kawaida? Viwango vya ulipaji ushuru vinaeleweka.

Mengine ameongeza chumvi bila ya kiasi.
 
Wakuu wa Kaya,

Pamoja na kwamba huyo mzungu ametia chumvi sana juu ya hiyo safari yake, lakini tukubaliane na hali ilivyo hapa kwetu. Hii ni changamoto kwa wote ambao ni wapenda maendeleo ya nchi yetu, hasa wale wenye access na vyombo vya dola kuwafikishia ujumbe huu.

Mimi mwenyewe niliwahi kupotelewa bag langu hapo airport, nikalipata baada ya siku kama nne ingawa nilikuta vitu kama viatu, computer na portable satelite radio vilipotea mpaka leo, kweli inakera sana. Hii inasabishwa na msururu wa wafanyakazi ambao ni vibarua, kama ilivyo VISHOKA kwa TRA.

X-Mas njema wana JF
 
MY NIGHTMARE IN TANZANIA

From: Ray Bergen

To: Lisana Koliskowski

Hello Lisa

I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania . The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam . And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft.Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.
Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO's are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania . They don't even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino.

Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in
Mozambique where we received utmost hospitality.

Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy.

Sincerely,

Ray Bergen.

Unamlaumu kwa sababu amesema ukweli?

Unaishi wapi?

Hata ikiwa huishi Tanzania, ujue Mwamerika huyo ameandika ukweli. Hata angekuwa Mwamerika mweusi, nisingemlaumu na kusema anawasaidia Wazungu kulichafua jina letu kwa sababu yeye ni mmoja wetu mwenye asili ya Kiafrika.

Wala rushwa wako kila mahali. Mafisadi wamejaa serikalini. Hata kortini kumejaa wala rushwa.

Umewahi kutumiwa vifurushi kutoka nchi za nje? Watanzania wangapi wanalalamika vifurushi hivyo haviwafikii?

Askari wanatunyanyasa kila siku, wanataka uwahonge kila siku. Halafu unamlaumu mtu aliysema ukweli kwa sababu ni Mzungu?

Muulize Kiwete na wenzake wamefanya nini kutatua matatizo hayo na kurekebisha nchi.

Mwalimu Nyerere, baada ya kustaafu, alisema kila anapokwenda nchi za nje, anachosikia kuhusu Tanzania ni corruption tu. Alisema "Tanzania stinks with corruption."

Mlaumu pia Mwalimu kwa kusema ukweli na kuichafua nchi yetu.
 
Airport Bongo nuksi sana, Ukisahau kuweka kofuli sanduku lako, Hesabu maumivu kama kwa vitu vidogovidogo kama Camera, Simu, Ipod n.k.

Wageni wangu mwaka jana walilizwa hapa hapa Bongo ilikua aibu sana.
na posta mwendo ni sawa. mimi posta walichomoa simu kwenye kiboksi chake wakanipa boksi tupu. kama una mzigo kama simu nyingi kwenye boksi usiesabu viboksi tu fungua kila kiboksi huwa wanachomoa.waliniliza nokia tena wanachagua ya gharama.
 
Hiyo barua inaonekana kwangu mimi kama vile imeandikwa na Mwafrika,Mtanzania labda. Hakiandikwa na mtu ambaye Kiingereza ni lugha yake ya kwanza. T

Ganesh,

Unasema hivyo Kwa sababu amekosea na kuandika "exuberant fees" badala ya "exorbitant fees"? Hapo ni kweli amekosea. Neno sahihi ni exorbitant.

Lakini kumbuka kwamba Wazungu wengi ambao lugha yao ya kwanza ni Kiingereza hawajui Kiingereza vizuri. Ni kama Watanzania wengi - labda hata mimi - ambao wanaandika Kiswahili kibovu hapa Jamii Forums.

Kumbuka kwamba kuna Wafrika wengi wanaojua Kiingereza safi kuliko Waingereza, Wamerika na wengineo wanaozungumza na ambao wanaandika lugha hiyo tangu utotoni. Mfano mmoja hapa Tanzania ni Mwalimu Nyerere. Kuna wengine kama akina Mkapa, Salim Ahmed Salim, Jenerali Ulimwengu na wengineo.
 
Huyu mzungu naye katia chumvi nyingi. Asidai kwamba wanakuja kutusaidia zaidi ya kutupora. Kwa nini asiende kufanya hiyo research yake Botswana au Mozambique. Mbona hakutaja NGO yake. Kweli kuna wizi lakini mimi nimeona ni mwongo tu kutokana na story yake.

Wezi kama yeye hatuwataki yeye alitaka kuingiza gari free ili auze kinyemela na mission zake zilipokwama ndio analialia njaa. Vile vile kama aliibiwa Insurance inalipa kwa nini alikuwa analialia?

Nakumbuka zamani wazungu walikuwa wanakuja na kulia wameibiwa na kupewa police report iliyowawezesha kulipwa Insurance wakirudi kwao, lakini siku hizi polisi nao wamekuwa wajanja ni lazima utoe ushahidi wa wizi na mahali ulipotokea. Wizi wa airport ni airline wa kulaumiwa etc etc.

Kwa kuongezea tu pia sio kazi ya police kuinvestigate begi lililopota airport. Kampuni ya ndege alopanda inawajibu wa kufuatilia begi lake limepotelea wapi. Alitaka polisi waende Amsterdam kufuatilia begi lake?
Wengi wa hawa wazungu wanafikiri wao wana akili sana! Hata NGO hajafungua anataka kupata msamaha wa kodi? Yeye alikuwa anakuja kufanya research yake kwa faida yake! Kwa nini atake kutokulipa ushuru? Mazoea yao ya kupata burebure yanapokwama wanaanza kulalama hovyo.
Imefika mahali tuone umuhimu wa kutoa misamaha ya kodi. Sio ooo mimi nafanya research natoka Amerikani naomba msamaha wa kodi, bingwa ananyanyua mhuri na kugonga tu.
Na akome!
 
Back
Top Bottom