One story took 95% of all todays stories in TZ

Golfer2008

Member
Mar 22, 2012
28
4
Leo Tanzania nzima stori ilikuwa ni moja ya kuhusiana na ushindi wa Cdm huko Arumeru. Ktk blog nilizo pita nimeona watu ni kupongezana tu hasa wakiwasifu wananchi wa arumeru kwa kuthububu. hata mtaani stori ni hiyo hiyo kwani hata wewe msomaji na Nape ni mashahidi. Ninacho amimi ushindi wa cdm umewahamisha magamba wengi sana kujiunga na cdm kwani kuna wazee kama sita wameninzihilishia. Tena mmoja akasema "Mwanangu kwa jinsi tunavyo tendewa na srikari leo hata ukipambanisha Kivuri na CCM kama zamani, nitachagua kivuri
 
Dar bado sana, wanafiki wote tumejaa humu hasa majimbo yetu ya walami; ilala, kinondoni na temeke....
 
Leo Tanzania nzima stori ilikuwa ni moja ya kuhusiana na ushindi wa Cdm huko Arumeru. Ktk blog nilizo pita nimeona watu ni kupongezana tu hasa wakiwasifu wananchi wa arumeru kwa kuthububu. hata mtaani stori ni hiyo hiyo kwani hata wewe msomaji na Nape ni mashahidi. Ninacho amimi ushindi wa cdm umewahamisha magamba wengi sana kujiunga na cdm kwani kuna wazee kama sita wameninzihilishia. Tena mmoja akasema "Mwanangu kwa jinsi tunavyo tendewa na srikari leo hata ukipambanisha Kivuri na CCM kama zamani, nitachagua kivuri

zilikuwa 94% ila hii ya kwako ndio ya 95%
 
Back
Top Bottom