One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

PART 1




PART 2




PART 3



That's not all... SIO MKWELI hajatuambia VIJE na VIPI alivyotaka kuiba MITIHANI ya A'LEVEL... akafukuzwa SHULE

Ni VIJE aliswitch over na kwenda Masomoni USA; Hadi na kupata Government Scholarship? Tulidhani he's an ETHICAL vipi na vije...???

Na atagombea URAIS mtu sio MKWELI ??? HIYO MIKATABA JAMANI...

Wapo VIJANA wenye AKILI na BORA zaidi ya YEYE JAMANI kwanini kuhangaishwa na Wapenda SIFA watoto wa VIGOGO very an Ethical... watajazana kila kona...

c.c
Kamisaa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna jipya tuliisha wazoea na maneno yao ukiyasikiliza utaona wanauchungu na wananchi hasa wanaposema maisha yao walipotokea lakini hadi wakawa hapo walipo wapewe sasa Majanga.
 
'Vije' ndo nini? Unajuwa waweza kuwa na hoja yenye mashiko lakini ukaiharibu na lugha isiyoeleweka! Toa ufafanuzi!
 
That's not all... SIO MKWELI hajatuambia VIJE na VIPI alivyotaka kuiba MITIHANI ya A'LEVEL... akafukuzwa SHULE

Ni VIJE aliswitch over na kwenda Masomoni USA; Hadi na kupata Government Scholarship? Tulidhani he's an ETHICAL vipi na vije...???

Na atagombea URAIS mtu sio MKWELI ??? HIYO MIKATABA JAMANI...

Wapo VIJANA wenye AKILI na BORA zaidi ya YEYE JAMANI kwanini kuhangaishwa na Wapenda SIFA watoto wa VIGOGO very an Ethical... watajazana kila kona...

c.c
Kamisaa

Hoja ya kuiba mitihani ya A level ni riwaya ya JF. Kilichotokea amekizungumzia yeye mwenyewe kwa uwazi sana siku nyingi sana katika hii makala January Makamba.com ambayo inaelezea jinsi gani alivyonusurika mara nyingi kufukuzwa shule Marekani kwa kukosa ada, na jinsi gani alivyosumbuka kuomba msaada kwa taasisi na watu mbalimbali mpaka akafanikiwa kumaliza masomo yake Marekani na kupata digrii mbili. Badala ya majungu, jaribu kufuata mfano wake.

When my father was moved (once again) to Lindi to become Regional Party Secretary, I had to move to a boarding school: So, I joined Galanos Secondary School, a more established if not reputable government school in the outskirts of the city of Tanga. I was a very good student there, almost always and effortlessly first in class. I was also very popular, outspoken and fearless. I ran for Deputy Head Prefect and won handily against a candidate favoured by the teachers (in old government boarding schools, the election of the student government body is a very serious matter). I was a very unconventional student leader as I clashed often with teachers over students’ rights, particularly poor state of food. Also, I did not quite fully use all the privileges that came of DHP position.
I was expected to do well at national secondary education exams. I chose to pursue CBA – Chemistry, Biology and Agriculture – as my “combination” for High School studies. The main reason for this choice was that it was an exclusive and a highly competitive combination. There was only one high school – Kibaha Secondary School – in the country taking only 34 students for this combination. So, I chose this because it was hard to get to high school on this. I was thrilled and moved by the challenge. So, we did our exams – and the day to go and look for the result came. And, to the shock of friends and family and teachers, my name was not there in the results sheet. I felt like collapsing. I went to another result centre thinking that there was a mistake – again, nothing. Inquiries to the reasons were not responded to immediately. Later we learnt that I was mistakenly linked to a cheating scam that one of the teachers was involved in. I was a pawn in a terrible mistake. A really long and painful story. So, what was the alternative? To resit the exams. I quickly registered as private candidate and pursued High School studies at Forest Hill High School on a tentative basis while resitting – so that when I get my results I can proceed on to Form Six. It was such a task, but I succeeded.

2)
 
Hata mimi nilitaka kumchukia lakini...niliposoma hapa nikamkubali kwani ROSTAM AZIZ hakuwahi kufanya hivi jimboni kwake...labda MO DEWJI

KWENYE ECONOMIST WAMESEMA HIVI:

slide-2.png


Bumbuli is among Tanzania's most densely populated constituencies. Most of its people farm tiny plots too small to be subdivided further. But Mr Makamba has a plan. He wants to borrow $10m from Wall Street philanthropists, to be repaid in ten years. The sum, he says, will be invested in east African treasury bonds and stocks, in the hope of dividends producing $700,000 a year to invest in Bumbuli.

http://www.economist.com/node/17369767
 
website ya BUMBULI.ORG imekufa

team january kulikoni? au mshaanza kuwa sleki?
 
I dont care kama alikuwa na divisheni 0 form 4 na form 6

muhimu ni je watu wa bumbuli wamenufaika?
 
..naona hapo ametangaza kugombea.

..sasa tusubiri Nape,na Mzee Malecela, watasema nini.
 
some big DUDES in wallstreet wanajaribu kumtengeneza jamaa huyu kuwa Rais wa Tanzania kwa manufaa yao..hajafanya jambo lolote la maana kustahili sifa anazopewa na watu wa nangharibi...kuna kipindi aliwahi kupata sijui award gani huko USA , later on nikasikia forbes wanamtangaza kuwa he is among the powerful dude in africa..WTF amefanya nini la maana ku deserve sifa zote hizi....wallstreet giants wanatengeneza kibaraka
 
namkubali jamaa ila sijui nani alimroga kufanya hii interview na hii blogu ya uchwara...njaa ya kuonekana kwenye media itamuathiri huyu jamaa bora angenyamaza kimya
unajinadi kwamba una experience kwasababu umeshinda na mkulu, angalia maraisi waliopita walijinadi kwamba wana 'experience' yeyote? uza seraaaaaaaaaaaa,nini waweza fanyia nchi? nini yaweza fanyika Tanzania kuleta mabadiliko....experience haisadii katika uraisi mkuu hamna raisi anayekuwa na experience akiingia madarakani mkuu
watu wakubwa wanakushawishi ugombanie uraisi mkuu? unagombania uraisi kwasababu unashawishika au kwasababu unaamini unaweza leta mabadiliko? unasukumwa kugombania na wakubwa? aise hii ni social suicide, ningekuwa ndugu ake ningemwambia aitoe kideo ake youtube kabla wazee waliomshawishi hawajaamka.ina maana ame admit anasukumwa na wakubwa kugombania uraisi ( nani anajua labda kwa interest yao)
huyu kijana yuko so smart ila sio mwanasiasa
hivi vi interview vitakuwa downfall yake kwa kweli.Makamba jnr nakukubali ila badilika acha kujiabisha katika media
 
Last edited by a moderator:
Kwa hayo uliyoandika then unasema yuko "so smart" unamaanisha nini sasa???!!!!!!

Smartness ipi haswa unayozungumzia???!!!! Unaweza kuielezea vizuri hii???!!
 
Back
Top Bottom