One night stand

I'm too good for one-night stand and too good for you NN..... so u really have to give up....

Ha! really? I knew you were stuck up and it's your loss, not mine. You're not in my league...I date top notch ladies...not some nonentity teeny boppers....on to the next one.
 
hommie lakini hii sy siku moja inakaaje I mean usiku mmoja,,,ni sawa na kudumisha mila?
Hahahaha! Hii si sawa kabisa na kudumisha mila. Mila inadumishwa kwa kufuata kanuni zote zinazostahili. Halafu sheria ya Mila ni lazima kuwe na rivenji!!!
 
Hahahaha! Hii si sawa kabisa na kudumisha mila. Mila inadumishwa kwa kufuata kanuni zote zinazostahili. Halafu sheria ya Mila ni lazima kuwe na rivenji!!!

mmmh....naona kuna rivenji inanukia mahali....hivi TEAMO leo ako gest gani?
 
Ngoja nikupe siri....kwa seasoned playa kama mimi, huo ni mwiko nambari wani! Kwenda kwa shori uliyekutana naye usiku huo huo si salama hata kidogo. Fanya juu chini uende naye kwako. Kama kwako namna gani vipi, mpeleke kwenye geto la mshikaji. Kama kwenye geto la mshikaji hakieleweki nenda gesti au motel au hotel. Kama hayo yote hayawezekani, mega kwenye gari kwenye kiti cha nyuma.

Nina rafiki yangu wa karibu sana aliuwawa miaka saba iliyopita. Alifumaniwa na demu wa mtu nyumbani kwa huyo demu. Akapigwa shaba akafa papo hapo. Mpaka leo hii nina machungu. Laiti angeongea nami kabla hajaenda kwa huyo mwanamke huenda angekuwa bado yu hai!! Sad story


Mshahara wa dhambi ni mauti. Biblia inasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. NN unamwitaji Mungu akusaidie ang'oe hiyo tamaa ya ngono vinginevyo mwisho wako si mzuri. Utaangamia. Usijione bingwa kufanya uzinzi na uasherati
 
Ha! really? I knew you were stuck up and it's your loss, not mine. You're not in my league...I date top notch ladies...not some nonentity teeny boppers....on to the next one.
Oh dear. How did you get your panties in a twist so fast, NN? Second of all, you are some nasty piece of work. Repulsive and annoying. Your little tantrum here is a bit out of place. Or is it? lol

Maybe you should man-up a little and accept the rejection...And yes, NN. There is no way in friggin hell that I'd ever let my guard down and let a man like you get within a mile of me. You can bet your twisted panties on that.

and ahhhh dont u get bored of telling us how good u r while we know deep inside you are a big loser.....
 
Oh dear. How did you get your panties in a twist so fast, NN? Second of all, you are some nasty piece of work. Repulsive and annoying. Your little tantrum here is a bit out of place. Or is it? lol

Maybe you should man-up a little and accept the rejection...And yes, NN. There is no way in friggin hell that I'd ever let my guard down and let a man like you get within a mile of me. You can bet your twisted panties on that.

and ahhhh dont u get bored of telling us how good u r while we know deep inside you are a big loser.....

Oooh kick rocks and die you worthless piece of shit. You are the worst person in the history of existence. Now go to bed you filthy what rhymes with a witch (i.e. bitch)....Lol
 
hhaa whatever....

Whatever to you groupie icon. You thought I was gonna punk out huh? Hahahaha...mama didn't raise no punk in me. I can dish it out too...Now don't chicken out....battle me if you got testicular fortitude
 
Umeshawahi kuwa na one night stand? Nahisi wengi wenu huenda mkajishaua lakini idadi kubwa ya watu walau huwa na moja maishani mwao.

Usiambiwe bana..one night stand kwa meni ni kitu kinacho piga jeki kujiamini na kujiona bingwa flani hivi.

Hebu fikiria kidogo...Ijumaa imewadia wewe na machizi wako mmeamua kwenda kiwanja. Mnafika kiwanja mnakamata vinywaji mnaanza kunywa polepole. Kadiri muda unavyozidi kwenda hamu ya kucheza muziki na yenyewe inaongezeka. Mnaamua na nyinyi mjiunge kwenye kuchezea muziki.

Unakutana na shori unaanza kucheza naye. Mara kidogo kidogo mzee unaanza kubambia....mnacheza miziki miwili mitatu shori kachoka anataka kwenda kuketi. Mnaenda kuketi mnaanza mazungumzo....taratiiibu mzee unaanza kutema sumu. Shori anaanza kuwa na kisebusebu....mwishowe unamshawishi muondoke wote.

Muda wa kuondoka unafika. Mnatoka nje ya klabu na shori bado anakuwa hana uhakika kama aondoke na wewe au aondoke na rafiki zake aliokuja nao. Mazee unazidisha mashambulizi...sasa unaanza kudondosha sumu zenye maangamizi makubwa. Shori anakubali lakini kwa sharti la wewe kwenda nyumbani kwake. Na hujiulizi mara mbili wala nini unawasha gari na kwenda naye kwake.

Unalala usiku uliobakia hapo kwake na unamega. Kesho asubuhi yake mnaamka anakutengenezea kifungua kinywa, mzee unatia ndani halafu unatimua.

Njiani mwenyewe unajiona biiingwa...unaanza kutabasamu tu peke yako. Baadaye mnawasiliana wasiliana lakini mwasiliano yanakuwa hafifu mwishowe mnaacha kabisa kuwasiliana. Baadaye miaka kadhaa mnakuja mnakutana....mwenzio keshamaliza shule ya udaktari na sasa ni resident doctor kwenye hospitali kubwa tu. Unajisemea kimoyomoyo....duh! nimemega pale...it was a one night stand...

Wadau mmeshawahi kuwa na one night stand?


Nyani na threads zake lol! Umerudisha kumbukumbu za miaka mingi kidogo pale Diamond Jubilee na kwingineko. Ujue ONS nyingine huweza kuzaa mahusiano mazuri kabisa na ya muda mrefu.

YouTube - Trey Songz - Say Aah ft. Fabolous [OFFICIAL VIDEO]
 
YAANINI MANENOOOOOOOOOOOOOOOOO!najiweka pembeniii naepusha msongamanooooooooo
bora nitulieeeeeeeeeeeeeeee

ningokje chakula nile!

Mola nijalie......

asee naona apo juu umeziba mdomo kuonyesha kuwa ukiitaja tu hapa ngumi zitafumka.....lol
 
Kumbe wanaume wengi ndivyo mlivyo hivi?mnayoyafanya and then mnajisifia. Ama kweli dunia ya leo hakuna wako peke yako. Lazima kutakuwa na mtu mna share nae.Kwa hali kama hii,nyumba ndogo maisha haziishi.
 
habari kutoka hapa kikaoni zinasema uchumi wa bongo umekuwa kwa asilimia 0.5, hii ni habbar njema ya kufurahia sana (naomba tukaeni kimya kwa sekunde kadhaa kuonesha kwamba tunajali)
hii ni ofutopik lakini ni ofutopik muhimu sana kwa taifa naomba nisipigwe ban.

KIKAO KINAENDELEA.
 
Back
Top Bottom