One night stand

Those are the sweetest things ever aisee quickies wacha kabisa

dfn: something that is done hurriedly, especially a hurried act of sex or a speedily consumed alcoholic drink. So if I do it with my wife will it be named 1 night stand? :target::target:
 
Next level mambo za siku, sasa unashangaa nini kusikia jamaa kamegwa? mbona inawezekana tu hiyo??

.....poa mkubwa? how is ''mzalendo pub'' bana.....? missing u guys a lot? where is Teamo, where is De novo where is MJ1......?

anyway...that's was kicheko bana......hearing ulimshughulikia mtu fasta.......! kwi!kwikwi!
 
dfn: something that is done hurriedly, especially a hurried act of sex or a speedily consumed alcoholic drink. So if I do it with my wife will it be named 1 night stand? :target::target:

No that will be a quickie na sio one night stand. ONS unaifanya na mtu ambaye ukishamaliza hauna any obligations towards that person. sasa Nguli hujawahi kuwa na ONS even once??
 
No that will be a quickie na sio one night stand. ONS unaifanya na mtu ambaye ukishamaliza hauna any obligations towards that person. sasa Nguli hujawahi kuwa na ONS even once??

NOP my FAITH doesnt dig that
 
.....poa mkubwa? how is ''mzalendo pub'' bana.....? missing u guys a lot? where is Teamo, where is De novo where is MJ1......?

anyway...that's was kicheko bana......hearing ulimshughulikia mtu fasta.......! kwi!kwikwi!

Sie tupo tumejaa tele wewe tu kututafuta.
 
One night stand ilinitokea siku moja nasakata Lumba nikapata mtoto nikawa nayarudi nae Komredi kufika mida flani tukawa tunakata vinywaji na kusimama tukicheza nikasebeza shori akakubali nikazidisha manjonjo ya kusakata lumba huku suruali yangu ikizidi kuchafua hali ya hewa, na nilizidisha speed ya kuagiza mavinywaji nilikuwa na mpambe alilewa mpaka akawa anatambaa mida ikafika nataka kusepa huku nimekula konozi mara dahh akatokea baunsa ndo alikuwa anaingia club si akamvuta yule shori kibabe huku na huku nashangaa kulikoni bro. jamaa akaniambia huyu ni shemeji yako dahh mzee niliishiwa nguvu. Mpambe wangu ndo kachoka kuanzisha ugomvi nikachemka jamaa alikuwa kapanda na kajazia kichizi nikaamua kusepa kimya kimyaa. Tokea hapo club nimekuchukia siendi tena.
 
ONCE UPON A TIME...............!
nilikwenda mkoa fulani kusimamia project fulani...............!
very much boring evening hotelini nikaamua kwenda restaurant for some few bottles.....
ayayayayayayayayaya!nilikutana na mdada wa kinyarwanda AAAAH!MAMA YANGU AYAYAYAYAYAYAYA

kama kawaida yangu mazee clubbin,na mambo mengine
kulala ilikuwa saa kumi na moja alfajiri,saa tatu kanipeleka airport...
nikiwa dar tukapigiana sana simu...
baadae TUKAPOTEANA!nilijaribu kumtafuta bila bila....!
nimepata call ake juzi hapa inacode number zinaanzia +128
sijui yuko wapi aisee
 
Those are the sweetest things ever aisee quickies wacha kabisa

Zamani mm ilikuwa ndo zangu kubeba ONS dah we acha vitu vitamu balaa.
Toka baunsa yule aniweze kuninyang'anya tonge mdomoni nimeacha kumega ONS
 
Back
Top Bottom