Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
- Thread starter
- #21
Sinema ya kinaijeria hiyo, matukio wayapitiayo wandamu watundu... shori wako ameishakuwa dakitari mkazi wa sehemu fulani. Mkumbushe uone km memory bado ipo...
Kama ulimega kisawasawa lazima kumbukumbu iwepo....