One-night stand

Hivi unaweza kufanya 'usiku mmoja kusimama' na unayemfahamu?
 
Mnakutana leo..mnamalizana leo!

siku mkiamua kukurudia ruksa......no strings attached at first ila as days go....wengine huwa na strings.....

Mmoja akinogewa lazima!Mara kawivu...mara mbona umepoteo...kidogo kidogo wanafall!

Duh! ndo stail za machangu hzo?

Hehehe sio kiivyo maana hawalipani!Kila mtu anaangalia starehe yake!

dearest hii kitu isiskie kwa wenzio....watu wamejidai ooooohhh sitaki strings...leo ni mume na mke.....love nyingine huanza kiajabu sana!!!!!!

kabisaaaaaa.....ila ukweli ka wivu kanakuwepo ukisha-do na mtu....:spider:

Orait. Najifunza, mimi mwanafunzi. Hivi kufall kunaanza baada ya mchakachuog?g!!

mwanafunzi uwe wewe Biggie???? ku-fall kunaweza anza before or after or during mchakachuo....l.o.l

Aisee kumbe kweli mimi wa zamani!

Enzi zetu ukimtongoza binti asipong'ata kucha kwa miezi kazaa au kutafuta vijiti lundo kazaa.......havuliwi mtu andawea!

Wajukuu mmanifunza mengi.

Babu narudi kitandani kulala!
 
Naona kila mtu atasema la kwake;nafikiri tuende kivitendo zaidi ndiyo tulete maneno.Kwasababu tutakuwa tumepata ushahidi wa kitu gani tunakisema.Hivyo basi,kama kuna mwanadada ambaye yuko tayari ninaomba ani-PM ili nishirikiane nae katika kufanya huo utafiti;halafu tupate majibu sahihi.
 
naona una kiu ya jibu.
 
dearest hii kitu isiskie kwa wenzio....watu wamejidai ooooohhh sitaki strings...leo ni mume na mke.....love nyingine huanza kiajabu sana!!!!!!

na hii ndio love nzuri,yan mwanzoni mnakua honest to each other kua bwana hapa tunapeana malitu,ila inafika wakati mnafall.lazima mtafall kiukweli na hakuna haja ya kumdanganya mtu kwan anajua ukweli ulipo.
 
Hapa naomba tutafutane kwa wine na nyama choma...,kuna kambuzi kanajisikia lonely hapa.

mmmhhh....nikipata wine...kazi kwishney.....mi nitakunywa tu maji ya uhai..... na hiyo nyama choma...Biggie,mjanja sana wewe....:wink2:
 
unachapa kisha unakula kona bila maulizo wala matafutano....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom