'Marriage or relationship is not a reformatory institution' ukimkubali mdanganyaji, umemkubali jinsi alivyo na vivyo ndivyo atakavyoendelea kuwa.
Cheating ya aina yoyote kwenye love ni sign ya weakness of character, ni udhaifu ambao kadri unavyolelewa baadae unageuka tabia hivyo ukuiingia kwenye relationship na mtu wa aina hii, usitarajie mabadiliko.
Kuna cheating za aina nne, ya kwanza ni upungufu wa mapenzi, hii ni cheating inachangiwa na mmoja wenu kutomtimizia mwenzie kimapenzi hali inayopelekea aliyepungungiwa kutafuta pa kujazia, akizoe inageuka tabia, hata umtimizie, bado atacheat.
Cheating ya pili ni circumstatial, hii ni kujikuta umetingwa na shida za kimaisha, the only way out for your survival, ni kutoa penzi upate mahitaji, maisha yaendelee, ukishazoea, hata ukitimiziwa mahitaji, utacheat tuu hata bure.
Cheating ya tatu ni tamaa za makuu haswa kwa kina dada/mama, mzee ndio mwenzangu na mimi, hali yetu ya kiuchumi inajulikana, mama anatamani hiki na kile, na kukubali kucheat ili apate atakacho, huyu naye akishazoea, ataendelea kucheat tuu.
Cheating ya mwisho ni ugonjwa inaitwa 'unsatiable sexual apatite' huyu anakuwa hatosheki na mmoja hata ufanye nini. Mtu wa hivi ndio atatongoza kila kipitacho mbele yake, kuanzia marafiki wa mkewe, house girl mpaka watoto wa kuzaa mwenyewe, na kama ni mama, kuanzia dereva, fundi simu, fundi bomba mpaka msoma mita. Kwa vile huu ni ugonjwa, unahitaji tiba rasmi vinginevyo ni kilema kama vilema vingine.
Kwa vile cheating ni weakness of character, dawa yake ni strength of character.
Do you guys think that if a men/girl cheated in a past relationship, he will cheat in every other relationship he is in? Is it true that if a man cheats once, or in only one relationship, he will do it again and again? What do you think?
...Cheating ya aina yoyote kwenye love ni sign ya weakness of character, ni udhaifu ambao kadri unavyolelewa baadae unageuka tabia hivyo ukuiingia kwenye relationship na mtu wa aina hii, usitarajie mabadiliko...
Camilla Parker Bowles bought a new pair of shoes for her wedding to Charles, which got increasingly tighter and tighter as the day went on. That night, when the festivities were finally over and they retired to their room, she flopped on the bed and said, 'Charles, darling, please help remove my shoes...... my feet are killing me.' Her ever-obedient Prince of Wales attacked her right shoe with vigour, but it would not budge. 'Harder!' yelled Camilla. 'Harder?' Charles yelled back, 'I'm trying, darling! But it's just so bloody tight!' 'Come on, Give it all you've got.' she cried. Finally, when it released, Charles let out a big groan and Camilla exclaimed, 'There. Oh, God, that feels so good! 'In their bedroom next door, the Queen said to Prince Phillip, 'See? I told you with a face like that, she had to still be a virgin!' Meanwhile, as Charles tried to remove her left shoe, he cried, 'Oh, God, darling. This one's even tighter!' At which Prince Phillip said to the Queen, 'That's my boy, once a Navy man, always a Navy man.'
....lets keep fighting our lust and greed!!
Huwezi kushinda vishawishi kwa kukabiliana navyo ila tu kwa kuviepuka!!!