Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,819
- 8,884
Whether we like it or not, utawala wa sheria hauna substitute. Never. Ndo maana ukiangalia sana nchi za magharibi wameendelea na watazidi kusonga mbele kwa sababu serikali zimejiwekea majukumu mawili makubwa: kukusanya kodi na ku-enforce sheria! The rest ni wewe na mimi. Binadamu ni kiumbe korofi sana. Hata US au Europe, sio kwamba raia wake wana akili kuliko sisi..ila mjomba, wanajua sheria ni Biblia. China wameshaligundua hilo, ndo maana, leo kukwepa kodi China ni sawa sawa na kuua! obviously we cant walk fast than the music, but we have to start from somehwere!
I can assure you, ikitokea Africa/Tanzania tukapata kiongozi mwenye kulielewa hili na kulifanyia kazi kwa dhati: Basi safari ya kuelekea nchi ya ahadi itakuwa imeanza officially. Kwa sasa bado tunapiga round about kwenye jangwa kama wana wa Israeli na Musa.
Maendeleo ya Africa lies within ourselves. Wala hatuhitaji $$ of billions za G8 au wengine, we need self reflection and DISCIPLINE so that we can get our priorities right! I might be wrong, but thats my conviction, bila rule of law, we are headed no where!