Ona vijana wakitanzania walivyochoka , je kwa utawala huu wataweza kuzuia hii nguvu?

arusha 1

Senior Member
Dec 29, 2011
147
45
[h=6]." WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO LAKINI WATAKUFA KWA PRESHA ZA DHAMBI, MUNGU YUPO UPANDE WETU."

Ni moja kati ya maneno anayopenda kuyatumia Henry Kilewo wakati akiwa anatoa hutuba zake ktk mjukwaa ya mikutano ya hadhara au mikutano ya ndani. Sijajua hii kauli ameibuni mwenyewe au ameinukuu toka kwa wahenga haijalishi wa ndani au wa nje, ila mm kwa mara ya kwanza nimeisikia toka kwake, na wakati anaitoa huwa hasemi kama amenukuu kwa mtu yeyote, hivyo kwangu mm hii ni kauli yake, Hivyo huyu Kilewo inabidi tumtazame kwa jicho la ziada, Kisha yale tutakayo yaona kwake kupitia hilo jicho la ziada lazima yatujenge. Mm binafsi nishaanza kumtazama kihivyo ww je?

. Nitaandaa doc kuchambua na kudadavua kauli yake hiyo yenye maneno 15 ambayo ni machache mno lakini yana ujumbe MZITO, na kama tukiufanyia kazi ujumbe huo kama vijana, hakika TANZANIA YENYE NEEMA itabisha hodi si kama kuwa valandani ikiteta nasi kwa namna gani itafika chumbani.

Henry Kilewo ni KATIBU WA MAKATIBU katika jiji hili la Dar es salaam

HIYO DOC ITAWAJIA HIVI KARIBUNI, ENDAPO NIKIWA FREE, SI MNAJUA KUANDAA VITU HIVI VINAHITAJI MUDA HASA, ILI NISIJE KUWA MKURUPUKAJI KAMA miss mjengoni.

PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOZ
[/h]Like*·**·*Unfollow Post*·*about an hour ago
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom