Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona Upuuzi Mwingine wa Masoud Kipanya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Jan 28, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,725
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hembu angalia na utafakari tena huu upuuzi wa Masoud Kipanya!
  Upuuzi wa Kipanya.jpg
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,725
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Na babu wa Loliondo amenukuliwa akisema muda si mrefu ataoteshwa kwahiyo Watanzania kaeni mkao wakuponywa!
   
 3. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  upuuzi uko wapi?
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,016
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  ...daa, kweli ni "upuuzi"
   
 5. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,619
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  tittle ya thrd yako pia ni ya kiipuuzi.
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi sioni upuuzi hapa zaidi ya huu ulioandika wewe. Au kuna hidden details labda sizioni?
   
 7. K

  KIMALIKE Member

  #7
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upuuzi gani tena opo!!!wakati hali halisi ndio iyo mkuu!!!!!
   
 8. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,763
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  ina maana wewe huelewi nini kinaendelea kwa sasa tz na
  kama umeshindwa kuelewa ujumbe wa masoud kaa kimyaa.....
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,004
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kipanya yuko sahihi.We unadhani kwa hali ilivyo sasa akiibuka babu ama mtu sampuli ya babu patatosha?
   
 10. f

  filonos JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ana maanisha kwakua ma Dr wamegoma kwahiyo yeye baba lolote atakalo tamka au ........watu wta mkimbilia ili wapone pole
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,186
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  tatizo huwa hampitii peji za masudi. Mwenyewe huita kazi zake 'ironically' upuuzi.

  Hii imekaa poa sana
   
 12. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,083
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Viponzo vya Masoud huwa vinakuwa na ujumbe mzito; marehemu Ditopile wakati wa uhai wake alitoa MBUKWA kwa hivi viponzo!!!
   
 14. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuelewa mchoro wa msanii lazima ubangue bongo. Sio ujumbe wa kueleweka kwa kila mtu.
   
 15. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Neno upuuzi kwako lina maana gani?
   
 16. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa vizuri sana kwani inaonyesha huduma za hosp zetu sio nzuri hivyo akiibuka babu watu watakimbilia kwake
   
 17. bona

  bona JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,635
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  sidhan kama kuna upuuzi wowowte kuhusu iyo cartoon, au kuna detail labda hazifunguki, its nice cartoon indeed!
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,496
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  mwanzisha thread hajamaanisha kuwa alichokifanya kipanya ni upuuzi,bali kipanya mwenyewe huwa anaziita kazi zake za sanaa "UPUUZI WA MASOUD KIPANYA"
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 17,382
  Likes Received: 5,623
  Trophy Points: 280
  tehetehe napiga tea .manake wengi wameelewa kuwaalieanzisha srid anamuona kp mpuuzikumbe kp mwenyewe huziita cartoon zake upuuzi wa masoud kipanya
   
 20. genekai

  genekai JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,799
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Upuuzi ni upi hapo sasa? labda kama hukuelewa ujumbe wake!!!!!!
   
Loading...