Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hawawezi kuchukuliwa hatua hadi ithibitike hiyo nyama ina madhara kiafya kwa watumiaji, hapo ndipo nnapoichukia sheria ya tz.. Juzijuzi kuna mshenzi mmoja huku singida alikamatwa ikiwa ndio biashara yake kuuza nyama ya wooh woooh si akaachiwa kiulaiini eti kisa haikuwa na madhara kiafya
sijui ni uzuri au ubaya, nyama ya mbwa huwa laini sana afu haina shombo kabisa.
Kama wanajua ku-marinate vizuri, nyama choma moja safi sana.
Mahotelini tunakula mengi mno, as long as hatufi ya nini kununa.
Afterall resources zinazidi kupungua
Dogi ni mtamu sana ndio maana ukienda Moshi ukinywa supu ya Mbuzi lazima ukasimulie ...nomaaa...kumbe wachaga nao noma kwa kitu ya dogii
yawezekana hata wewe ulishakunywa hiyo supu bila kujua na ukaisifia lolKwangu mimi ni noma,ila nadhani walaji mbwa,wanaona poa tu!
Aisee hii ni mbaya sana. Jamaa wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Mimi nilifikiri yanayoandikwa katika hivi Vikatuni ni maneno ya uongo kumbe ni maneno ya ukweli hayo na yanatokea Mijini? Ehh ama kweli kasheshe kweli bongo yetu.