On Star TV: Ipi Misingi ya Amani Tanzania? Sehemu ya 3

Hiyo sauti ni ya Mbunge, nadhani wengi mmeshajua nani! Kajiita nani vile? Hahahaha

Ha ha ha ha ha! Sauti ilikuwa obvious Mkuu. Kajiita Zahra kutoka Morogoro. Hawa jamaa uongo ni jadi yao; wanasahau pia uongo ni miongoni mwa mambo yanayohatarisha amani ya nchi yetu tena unashika nafasi ya juu.

Bila aibu mtu mkubwa kama yeye anaingiza uongo katika mijadala ya kawaida kabisa. In short, aliyejiita Zahra ni miongoni mwa wenyeviti kule mjengoni na ingeshangaza kama angeongea kinyume na aliyoyaongea.
 
(Si ya kusoma)
Mkuu Yahya leo mmechemka sana kutuletea hao makada wa CCM. Mmeshindwa ku balance mjadala wa leo. Mzee Falijara na mwenzio ni wanachama wa CCM, nashauri mjirekebishe

Asante Mkuu

Du huyu mzee wa Dar ameua zaidi hapa mwishoni, kwa kusema tusiwadharau star tv, bali tupeleke maoni yetu ITV wakati hata haihusiki. inaonyesha hawa wazee hawana sera, the brain has nothing constructive, amewatukana ITV for nothing just kukwepa mjadala mzito uliopo mezani, wanataka tu kulinda CCM, hell!!!!
 
kha,wazee tulionao ndo hawa,hawezi kuwa hata na hekima ya kujua kutaja itv katika kituo cha star tv kwa shutuma kali hivyo ni kosa.

HIVI MZEE KAMA HUYU ANGEKERWA NA WAZIRI MKUU ANGEMFANYAJE.
 
Mzee Farijara na huyo mzee mwenzio naomba mtufahamishe, Polisi kazi zao ni kukamata watuhumiwa na kuwafikisha mahakamani, iweje waanze kujitwalia sheria mikononi na kuwaadhibu watuhumiwa?

Kote walikoua watu, watu hao hawakuwa na silaha yoyote mikononi mwao, kwanini polisi waliwaua badala ya kuwakamata na kuwafikisha mahakamani?

Hawa wazee frm dsm wameboa sana kwakweli yaan hovyo kabisa! Halafu Jestita muhagama amepiga simu amepanic mwisho wasiku eti hao wazee wapo sawa Khaa! Hovyo kabisaa 'mzee kachemka mpaka amesababisha hawa mtangazaj aombe Radhi kwa ITV aisee StarTv muwe mnatuletea watu walio timamu maana tunaacha usingizi wetu halafu ukikuta ujinga kama huu unaishia kukasirika 'Sheikh na Askof mkovizuri
 
Ha ha ha ha ha! Sauti ilikuwa obvious Mkuu. Kajiita Zahra kutoka Morogoro. Hawa jamaa uongo ni jadi yao; wanasahau pia uongo ni miongoni mwa mambo yanayohatarisha amani ya nchi yetu tena unashika nafasi ya juu.

Bila aibu mtu mkubwa kama yeye anaingiza uongo katika mijadala ya kawaida kabisa. In short, aliyejiita Zahra ni miongoni mwa wenyeviti kule mjengoni na ingeshangaza kama angeongea kinyume na aliyoyaongea.

Ni hatariiiiiiiiiiii
Huyu mamaa ni afisa tawala wa ngazi za juu wa CCM, anajifanya mwema, kumbe analinda kitumbua chake....du
samahani mama tayari kitumbua chako kimeshangia mchanga, tena wa pwani
 
Yahya unabusara sana, hongera kwa ufafanuzi kuhusu ITV coz huyu mzee anaonekana ni limbukeni. Na ndiyo maana watazmaji wengi leo wamelaum coz ya misimamo kama hiyo ambayo direct inaonyesha uko upande gani wa mawazo.

Next time tuangalie watu wa kuwaalika other wise watashusha hadhi tv imara kama Star Tv ambayo wakati wote imekuwa ikitoa matangazo yake bila upendeleo wowote.

Other wise big up Star tv na watangazaji wake.
 
Yahya..leo nimekubali ww you are one of the few professional journalists hapa TZ baada ya kuapologize kwa pumba za huyo babu kuiponda ITV.
Lakini tulishawahi kukuonya kuhusu huyo mzee kwamba hafai kualikwa kwenye mijadala..I hope leo mmejifunza.
 
Ha ha ha ha ha! Sauti ilikuwa obvious Mkuu. Kajiita Zahra kutoka Morogoro. Hawa jamaa uongo ni jadi yao; wanasahau pia uongo ni miongoni mwa mambo yanayohatarisha amani ya nchi yetu tena unashika nafasi ya juu.

Bila aibu mtu mkubwa kama yeye anaingiza uongo katika mijadala ya kawaida kabisa. In short, aliyejiita Zahra ni miongoni mwa wenyeviti kule mjengoni na ingeshangaza kama angeongea kinyume na aliyoyaongea.

mimi nimeisikia hio sauti ni kama ya mama shelukindo sijui wenzangu maanake masikio yana uwezo tofauti ila hao wazee wakati wa kumalizia wameonesha hasra ya wazi....
 
Kama viongozi wote wa dini wangekuwa kama hawa waliopo Mwanza, haya matatizo yasingekuwepo.

CCM inaeneza udini na imefanya kuwa mtaji wao, na baadhi ya viongozi wa dini wamejiingiza humo na kushabikia udini.

vipi Range naona umeinamisha kichwa .wazee wanakutia aibu ,
 
Acha kupotosha... nyie ndio wale washabiki wakutia sumu katika akili za wakurupukaji na bendera fuata upepo bila kuuliza. Umemsikiliza, wafanyie haki Watanzania ambao hawajabahatika kusikiliza wajue kasema nini!

Kaongea ya msingi na namuungua mkono kwa kiasi fulani, ingawa kaegemea mno upande mmoja.

Sidhani kama na wewe un atofauti. Kuna vitu ni trickky sana na vinahitaji conventional wisdom kujibu. Kuna vitu sheria haiwezi vipa majibu ya wazi ila busara ndio kutoafautisha weledi wa watu. Hawa akina mama na jamaa wa studio leo hawawezi vuka hicho kikwazo.

Yaani kama kusimama katika gari na kumpisha bibi mzee. Sheria haina jibu sahihi,kwani kama gari limejaa bibi angesubiri la nyuma, na kama ni haki kila mtu ana haki ya kusafiri,kama ni kulip anauli kila mtu nalipa hela ambayo ilipatika kwa taabu.
 
Kweli shetani ni noma akiamua kukuumbua anakupa kubwa!

Huyo babu wa Dar tunamsema ana ngozi ya magamba anabisha; angalieni sasa amewaingiza mkenge kaitukana ITV kupitia Star tv, huu ni uvunjifu wa amani pia...

Tunashukuru maoni yetu yamejiweka wazi next time jipangeni wakuu.
 
Falijala anatoa povu ni msengenyaji mkubwa anaikashfu ITV.

Mwanzoni kabisa Post #2 nilionya aina ya watu walioletwa studio hususan Dar Mods wakaifuta. I knew this would happen.

Imagine aina hii ya watu eti ndio watetezi wa CCM halafu unategemea chama kihesimiwe na kupendwa! Wapi na wapi bana?

Enzi hizo zimepita hata waje na propaganda za aina gani wamefulia. Kweli kuitetea CCM ya sasa, lazima uwe na akili za ajabu.
 
Sasa hawa wazee ndio taswira ya watu wanaosema wanatuongoza kwa haki na uadilifu. Mawazo shallow namna hii nani wa kuwasikiliza hawa huku mjini?

Huyu mwanajeshi anaonekana angepata nafasi basi angelipua bomu la machozi tumboni kwa mtu kwa jinsi alivyo na jazba.
 
Kweli shetani ni noma akiamua kukuumbua anakupa kubwa,huyo babu wa dar tunamsema anangozi ya magamba anabisha angalieni sasa amewaingiza mkenge kaitukana itv kupitia star tv,huu ni uvunjifu wa amani pia...tunashukuru maoni yetu yamejiweka wazi next time jipangeni wakuu.

Mkuu gamba halijifichi hata ufanyeje! Nilionya kabla mods wakafuta post yangu. Enzi za ujinga zimepita.
 
Huyu mzee Farijala amemalizia kwa kuonyesha uhalisia wake... Kama hizi ndizo busara za wazee wetu basi Tanzania tuna safari ndefu sana..

Pongezezi zangu nyingi kwa team mzima ya Statv kwa kutuletea kipindi hiki kizuri, naomba muwe makini na wageni wenu mnaowaleta Studio wanawaaribia kipindi chenu kama ilivyo tokea leo.
 
Back
Top Bottom