On STAR TV: Ipi misingi ya Amani? Sehemu ya Pili

Kauli hii ya tunaenda kwenye vita ya tundu lissu ina maana gani..?
Ni kuwa wamejiandaa kwa hili..? Wamejiandaa na kupima madhara yatakayotokana na hilo...!

Watu hawa ni lazima kuwa nao makini sana...!

kwahiyo hukumwelewa au ushabiki ndo unakupumbaza'
 
naishauri ccm na serikali kubadilisha kauli mbiu ya " tutunze amani yetu " imepitwa na wakati. waturudishie mali zetu, halafu watushauri tutunze utulivu wetu,/ wakiturudishia na mafisadi wakiadhibiwa, na sisi tukishashiba au angalau tukionja, ndio sasa waje waongee masuala ya amani. hatuna amani...........
 
Ccm wanajua kuwa amri zao kwa jeshi la polisi ndio chanzo cha uvunjifu wa amani, wanatoa amri kwa jeshi ili wajitafutie uhalali wa kutawala kwa mtutu maana uhalali wa kutawala kwa dhana ya misingi ya kidemokrasia wameshashindwa.

Siku ccm watakapo tambua kuwa wao ndio wavunjifu wa amani halafu wakajifunza kuitunza amani kama wanavyo ihubiri kiuongo, ndio siku ambayo watapata heshima ya kuwa chama tawala kilicho kabidhi madaraka kwa chama cha upinzani bila vita wala vurugu.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
cc m waonyeshe uungwana kurejesha ofisi zote zilizojengwa Enzi za TANU, kwa sababu lazima

zitarudi tuu
 
cc m waonyeshe uungwana kurejesha ofisi zote zilizojengwa Enzi za TANU, kwa sababu lazima

zitarudi tuu

Hata kama watatumia jeshi gani lazima hizi mali zitarudishwa. ni mojawapo ya mitaji wanayoitumia kujiimarisha, wakati ni taifa zima lilijenga mali hizi enzi za mwalimu.
 
Ndio nani huyu nimekuta kipindi mwishoni na sikumuelewa alichoongea

tafadhali star tv, ninyi ni wakombozi wa wananchi, msije mkatuwekea mamluki wa ccm, msiwaogope hao, watatoka tu!!
hawawezi hata kuwafungia kama mwanahalisi, wakifikia hapo watakuwa wacross red line!

twendeni hivi hivi kwa fair play
 
Kizuri hujisemea, LISU ameonyesha kuwa yeye ni juu zaid. He is knowledgeable and not informed (you can distinguish the two). Nape alitoa falsafa za Mahatma Gandhi juu ya kudai haki kwa amani! Then came LISU on Mahatma Gandhi's philosophy of Mass resistance by peaceful means. Amelezea historical antecedents za nchi yetu kuwa sheria zinazotumika sasa zilitumika na wakoloni kuikandamiza TANU, kitu ambacho CCM inakifanya sasa hivi kwa opposition parties kwa sheria hizo hizo. You can clearly see the wide gap of knowledge/intellect among the three ! Very vivid!!!!!
 
Lissu,kwanini kila wanapofanya mkutano cdm kunatokea vurugu na mauaji?
Maswali ya kipumbavu kama haya huulizwa na watu wenye mtindio wa ubongo kama wewe! Polisi ndio wanao ua watu, iweje wewe mjinga umuulize Lisu? kwa nini usimuulize IGP anayetii amri za CCM bila uadilifu.?
 
Ccm wanajua kuwa amri zao kwa jeshi la polisi ndio chanzo cha uvunjifu wa amani, wanatoa amri kwa jeshi ili wajitafutie uhalali wa kutawala kwa mtutu maana uhalali wa kutawala kwa dhana ya misingi ya kidemokrasia wameshashindwa.

Siku ccm watakapo tambua kuwa wao ndio wavunjifu wa amani halafu wakajifunza kuitunza amani kama wanavyo ihubiri kiuongo, ndio siku ambayo watapata heshima ya kuwa chama tawala kilicho kabidhi madaraka kwa chama cha upinzani bila vita wala vurugu.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

chanzo cha vurugu ni maandamano ya vyama vya siasa,kwa sababu tangu uhuru jeshi la polisi lipo na hatujasikia hizo tuhuma,kwanini iwe leo wakati kuna maandamano ya vyama vya siasa?
 
Maswali ya kipumbavu kama haya huulizwa na watu wenye mtindio wa ubongo kama wewe! Polisi ndio wanao ua watu, iweje wewe mjinga umuulize Lisu? kwa nini usimuulize IGP anayetii amri za CCM bila uadilifu.?

mods angalieni lugha za matusi zinazotumiwa na huyu mtu hapa juu.inaonekana anatumia kichwa kufugia nywele badala ya kufikiri
 
Back
Top Bottom