GT,
Mkuu Mbowe yupo na nadhani aliyasema haya kabla hata maswala haya hayajatokea. Viongozi wa CCM wakamrudia na matusi mazito kutaka kumvua nguo wamwache Uchi, bahati mwenzetu aliwahi kusetiriwa...
Sasa hivi ngoma ipo kwa nyie CCM, haya maswala ni mazito na hayahitaji ushabiki.. Mbowe is more than that brother msije kumsukumiza Segerea maanke hamkawii. Kimya chake anasikilizia muziki unavyodunda sio lazima acheze! hapo alipo anatingisha kichwa tu - Music in the air, What's Up - Let them do the talking!
nadhani GT anaongelea kwa nini Mbowe as mwenyekiti wa CHADEMA, kwa nini haongeii?Hivi hapa kikubwa ni tamko la CHADEMA kama chama cha siasa au Mbowe??Sioni ubaya kwa Kabwe kulitolea tamko hili suala,naamini amekiwakilisha chama chake otherwise naamini within a reasonable time Chadema wangekanusha na kusema kuwa huo ni mtazamo wa Kabwe mwenyewe kama raia mwingine wa Tz.
Mbona Mzee wa kaya ame_mute na hamsemi?Au yeye hayaoni haya?
GT,i differ with you .Mbona huyo nayeitwa rais JK hajazungumza kitu kuhusu migomo ya vyuo vikuu..?? Think
Migomo left and right serikali iko bize na mafisadi kila kukicha na hakuna kinachoeleweka...lakini in the light of all these scandals the so called President in waiting bwana FREEMAN (The silentman) MBOWE yuko kimya. Maana ukweli usiopingika kuwa MAALIM SEFU nadhani bado kupiga msumari wa mwisho kwenye sanduku lake la career yake ya siasa so he/ or CUF cannot qualify as the real alternative.
Maana haya mambo ya kumwachia ZITO kuwa mouth piece ya CHADEMA yanaboa
There is just much one man can do, tena kwa vijisent vya Ubunge. Sasa kama Mbowe kashindwa kutia neno wakati wa hili vugu vugu kwa nini ZITO asipewe hicho cheo cha FREEMAN halafu huyu the SILENT MAN akaendelea na biashara yake(nasikia mpaka leo Bilicanas club bado haijafunguliwa) sasa sijui ndicho kinachomtia ubize au vipi
CHADEMA amueni kiongozi wenu ni ZITTO au MBOWE na kama mbowe then I,m sorry to say kuwa kimya chake wakati huu kinatisha.Imagine angekuwa Ikulu nani angekuwa ana run nchi...please dont tell me Mzee Mtei
Freeman Mbowe ni bonge la leader kwasababu ni MGARATIA!! huo ndio usawa tuliopo sasa hivi....ukiwa mkristo safi, ukiwa muislamu chafu!! hovyo sana.
FREE CHINKALA NOW.
Segerea wapiiii mtu mzima bado anaishi kwenye apartment ya Baba yake
says alot where Mbowe's priorities lie
mwenyewe yupo humu nashangaa maka sasa kagoma kujibu kitu
Mbowe anaishi mikocheni karibu na regency hotel kwenye bonge la nyumba aliyejenga mwenyewe tangu 2004. Hivi watu mbona wanakuwa na akili fupi. Mimi sikumbuki mahali mbowe amesema anagombania urais. Kuwa mwenyekiti wa chama sio kuwa president in waiting. Does this means makaidi na mapalala na mziray nao ni presidents in waiting. Please acheni ushamba....Grow up man.
Msameheni GT kaathirika na siasa za UK. Anafikiri kila kiongozi wa chama cha siasa automatically anakuwa mgombea wa uongozi wa nchi (Rais au WM) kama ilivyo kwa akina Cameron na Clegg. Ni kupeana kaelimu kuwa mfumo wetu wa siasa hauendi hivyo. Kiongozi wa chama kwetu ni caretaker kwa kipindi cha uongozi wake na haina maana yeye ndiye lazima awe mgombea.