LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Majada huu unaendelea LIVE kupitia ITV,hebu tuifuatilieni kwa karibu wadau wenzangu!
Hako kajamaa kenye suti nyeusi sijui Masako kakatoa wapi kana mawazo mgando ile mbaya! Sijui kama hata haki zake kama mwananchi azijua maana anachosisitiza ni kuzitii na kuogopa mamlaka zilizopo hata kama zinatunyonya?