Omy Dimpoz: Video hii haiendani na wimbo.....

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,096
708
Niliingoja kwa hamu sana hii video ya wimbo wa me and u wa Omy dimpoz,tangu alipoizindua pale Maisha club kila mara nilikua nikiingia youtube kuangalia kama imeshwekwa;nilipata mfadhaiko baada ya kuona ile video kwa kweli SIO NZURI NA HAIENDANI NA UZURI WA WIMBO...
 
Wabana pua kuimba mapenzi itafanya ukimwi usepe hizi ni propaganda.i lyk hip hop
 
video mbovu sana hiyo blue screen sijui walishindwa kuondoa ile back ground inayowazunguka ommy na vanesa.
 
ooh umeniwahi,....maana baada ya kuiona nimekimbilia jf nipost how ---- the video iz..bora diamond mara elfu!!yani Vanesssa na exposure yako yooote iyo ukaamua kukubali video hovyo kama hiyo itoke>?what a shame...the audio is superb ila video ingemtangaza zaid nje..but what u did ni kutupa hela kwenye moto....---- ---- ----
 
sijui kwanini wimbo ukivuma sana redioni video yake inakuwaje majanga!
ninavoupenda huu wimbo,wangenitendea tu haki ya kunitengenezea video nzuri!
lol!
 
Huyu jamaa kwenye video kila siku anachemsha,ile ya kwanza alifanyia South Africa ikawa mbovu hii ya Nairobi nayo bomu
 
Attachments

  • 222015_3901138563091_1302663724_n.jpg
    222015_3901138563091_1302663724_n.jpg
    15.7 KB · Views: 223
video mbovu sana hiyo blue screen sijui walishindwa kuondoa ile back ground inayowazunguka ommy na vanesa.

Nilimsikia jana akijibu hizo critics..nikasikitika sana..kwa kweli upeo wa wanamuziki wa kiBongo (Bongo Flava) bado ni mdogo sana.

Ommy Dimpoz badala ya kushukuru kuwa washabiki wake wamekuwa 'honest' na kulalamika video yake imekuwa na kiwango cha chini kuliko walivyotarajia...yeye akawashukia na kuwalaumu kuwa 'wanachonga' tuu bila kufahamu mambo ya video. Akitapa video imefanywa na Ogopa Deejays.

My Take: Sawa video imefanywa na watu wenye reputation, lakini video hiyo ilifanywa kwa ajili yetu sisi washabiki. Nasi hatuangalii kafanya nani, bali tunaangalia utamu wa video wenyewe....usipokuwepo hata kama video imefanywa na malaika tutaponda tu.

Ommy...go back to studio and come up with something of your status...and the status of the song! Wapo wanamuziki wengi tu wakubwa Marekani wamere-do the video kwa sababu walichemsha mwanzoni. Si jambo la kuonea aibu..ni jambo la kujifunza!
 
Sometimes wasanii wa bongo ni mamburula wanataka kusifiwa tu.
Hii video mbaya hana la kujitete hata ingekuwa imefanywa na cash money still tungeiponda. Sasa video kawafanyia ogopa au katufanyia mashabiki. Mbona video zake za awali hazikupondwa hivi.
Siye hatutaki jua camera inashikwaje wala nini tunalotaka kuona ni video nzuri hayo ya camera na editing haituhusu sisi ni final consumers how the food is processed doesnt matter to us what matters is the taste and quality of the final product
 
Nilimsikia jana akijibu hizo critics..nikasikitika sana..kwa kweli upeo wa wanamuziki wa kiBongo (Bongo Flava) bado ni mdogo sana.

Ommy Dimpoz badala ya kushukuru kuwa washabiki wake wamekuwa 'honest' na kulalamika video yake imekuwa na kiwango cha chini kuliko walivyotarajia...yeye akawashukia na kuwalaumu kuwa 'wanachonga' tuu bila kufahamu mambo ya video. Akitapa video imefanywa na Ogopa Deejays.

My Take: Sawa video imefanywa na watu wenye reputation, lakini video hiyo ilifanywa kwa ajili yetu sisi washabiki. Nasi hatuangalii kafanya nani, bali tunaangalia utamu wa video wenyewe....usipokuwepo hata kama video imefanywa na malaika tutaponda tu.

Ommy...go back to studio and come up with something of your status...and the status of the song! Wapo wanamuziki wengi tu wakubwa Marekani wamere-do the video kwa sababu walichemsha mwanzoni. Si jambo la kuonea aibu..ni jambo la kujifunza!

huu ushauri uliompa huyo omy mapozi unajichosha tu maana anategemea nguvu za uchawi unategemea nini..
 
Sasa kuna ile "Closer" single nyingine ya Vanessa. Kajituma kweli dada wa watu bu nadhani beat haikuutendea haki wimbo wake.. Beat imepooza sana, while mwenyewe anatumia so much energy na mbwembwe zote kuimba.. I feel bad coz ule wimbo ni mzuri sana i wish ungepata beat nyingine nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom