Omusilanga: Tupatieni update za mkutano wa chadema geita leo

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
wakuu heshima kwenu... Naomba mwenye update ya yaliyojili leo huko geita ktk mkutano wa cdm atuhabarishe.. Bila shaka wengi wetu tunahitaji kufahamu raisi aliyemioyoni mwa zaidi ya watanzania milioni 30 (dr. Slaa).. Amesema nini...

Karibuni.. Update........ Na mapicha mtupie kama kawaida ya jf
 
mkuu usione kimya,uku hali ni mbaya sana..mkutano ulikosa watu,na mitaa yote magari yalikuwa yanazomewa...sasa sijui chama ndio kinazidi kupoteza mvuto au watu wa Geita hawadanganyiki..lakini ndio hali halisi mkuu.
 
Mkuu mkutano wa hadhara pale Katoro haukuweza kufanyika leo baada ya kikao cha ndani kuwa kirefu na hivyo kumalizika jioni sana..badala yake mkutano wa huo utafanyika kesho kuanzia saa tisa mchana na ule wa Geita mjini uliopangwa kufanyika kesho katika viwanja vya magereza utafanyika keshokutwa.
 
Nipo Geita Watu Wanasubiri kwa Hamu sana!! Ila matangazo yanaendelea!! Ratiba ilikuwa Kesho uwanja wa Magereza!! Ila nadhan Taratibu Nyingine bado zinafanyika
 
Ben,
Tunaomba update. Muwe mnaleta na picha pia. Ingekuwa Crashwise yupo kwenye msafara huo tayari mapicha ya kumwaga yangekuwa hapa jamvini
 
mkuu usione kimya,uku hali ni mbaya sana..mkutano ulikosa watu,na mitaa yote magari yalikuwa yanazomewa...sasa sijui chama ndio kinazidi kupoteza mvuto au watu wa Geita hawadanganyiki..lakini ndio hali halisi mkuu.

We boya yaani umekuja juzi tu unataka kujifanya mjuaaji na repota wa CDM, hii ni mida ya kumpa mumeo haki yake, siasa waachie wenye uchungu na tz. Hao wabunge wako wenyewe wanasikilizia upepo wa CDM! Wanaimba singo za CDM ili kikinuka wapate pa kunywea maji
 
Mkuu mkutano wa hadhara pale Katoro haukuweza kufanyika leo baada ya kikao cha ndani kuwa kirefu na hivyo kumalizika jioni sana..badala yake mkutano wa huo utafanyika kesho kuanzia saa tisa mchana na ule wa Geita mjini uliopangwa kufanyika kesho katika viwanja vya magereza utafanyika keshokutwa.

si useme ukweli tu mkuu...watu walikuwa hawana habari na mkutano,labda tusubiri viongozi wapitishe noti usiku huu kesho watu wanaweza kujitokeza.
 
We boya yaani umekuja juzi tu unataka kujifanya mjuaaji na repota wa CDM, hii ni mida ya kumpa mumeo haki yake, siasa waachie wenye uchungu na tz. Hao wabunge wako wenyewe wanasikilizia upepo wa CDM! Wanaimba singo za CDM ili kikinuka wapate pa kunywea maji

we nawe kama Lema tu akili zako..sasa ndio unaongea nini.
 
mkuu usione kimya,uku hali ni mbaya sana..mkutano ulikosa watu,na mitaa yote magari yalikuwa yanazomewa...sasa sijui chama ndio kinazidi kupoteza mvuto au watu wa Geita hawadanganyiki..lakini ndio hali halisi mkuu.
Watu kama ninyi huwa tunawsaka baada ya nchi kupata ukombozi. ok but najua siku si nyingi utatuelewa tu mama na utajua maana ya neno MAPINDUZI.
 
Back
Top Bottom