Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

Kwa kuwa tumeambiwa before the universe time and space didn't exist basi tunaamini hivyo na akili yetu inakubali. Lakini tufikili kwa pamoja, kile kilichoitwa singularity kilikuwa wapi?(nje au ndani ya nini?)

asante sana kwa kunielewa mkuu tiger,angalau damu ya u"atheist"inaanza kukuingia...ipo hivi mkuu,ili kulocate position ya kitu unaitaji vitu viwili "space and time",na sharti kitu hicho kiwe ndani ya space,kwa maana hiyo basi hatuwezi kusema singularity ilikuwa wapi,kwa sababu haikuwa ndani ya space,space ndiyo ilikuwa ndani ya singularity...hii ni sawa na mtu akikuuliza hivi;"ulikuwa wapi kabla babu yako hajazaliwa"hili ni swali la kipuuzi,kiufupi singularity haikuwa sehemu yoyote ile!
 
Mtu anauliza kama chenye uwezo wote kinaweza kutengeneza kisichoweza kubeba....

Hajui tu kuwa anaposema "chenye uwezo wote" anakuwa ameshamaliza kila kitu labda tu awe hajui "uwezo wote" maana yake nini....

Unakuwa unajipinga mwenyewe maana "uwezo wote" na "kutengeneza asichokiweza" mwente uwezo wote ni kujipinga mwenyewe...

Huwezi kuwa na na vyote viwili kwa wakati mmoja lazima kimoja kisiwepo...
 
sikiliza;unaposema yupo muweza wa kila kitu basi automatically hakuna kitu kisichowezekana sawasawa?..sasa ngoja nikuulize swali,"je huyu mungu wako ambaye ni muweza wa kila kitu,anaweza kuumba kiumbe kikubwa na chenye nguvu zaidi yake?...nasubiri jibu lako mkuu!
 
anaongelea miujiza mkuu ambaye ameshindwa kufikiria na kuona haiwezekani kwahiyo ameona aaombe msaada kwa aliyemuumba afanye ujinga anaofikiria uwezekane
 
sikiliza;unaposema yupo muweza wa kila kitu basi automatically hakuna kitu kisichowezekana sawasawa?..sasa ngoja nikuulize swali,"je huyu mungu wako ambaye ni muweza wa kila kitu,anaweza kuumba kiumbe kikubwa na chenye nguvu zaidi yake?...nasubiri jibu lako mkuu!

Eiyer kakujibu vizuri sana uwezo wa Mungu hauna kikomo kwa hiyo hawezi kutengeneza kitu ambacho kitamzidi yeye 'HANA KIKOMO'
 
hahaha hivi utaumbaje kitu ambacho kina nguvu zaidi yako ?umejuaje kinachoumba ni kiumbe?halafu umejuaje anatumia nguvu kuumba?

naomba majibu sio maelezo ya blah jibu hayo maswali
 
sikiliza;unaposema yupo muweza wa kila kitu basi automatically hakuna kitu kisichowezekana sawasawa?..sasa ngoja nikuulize swali,"je huyu mungu wako ambaye ni muweza wa kila kitu,anaweza kuumba kiumbe kikubwa na chenye nguvu zaidi yake?...nasubiri jibu lako mkuu!

Unarefusha uzi bila sababu za msingi.
Ngoja nijaribu kukujibu utakavyo wewe.
Mungu hawezi kuumba Kitu chochote kinachozidi uwezo wake.
Kila alicho kiumba na anachoumba kiko chini ya Uwezo wake.

Una swali lingine.
Tafadhali Uliza swali kwa lengo. Sio kuuliza maswali basi Uzi uwe mrefu tu. Kisha uwaambie Rafiki zako kwenye twitter or Facebook "yoh check out my thread its on 500 pages so far and I'm going to make sure i hit 1000 before Christmas "
 
Eiyer kakujibu vizuri sana uwezo wa Mungu hauna kikomo kwa hiyo hawezi kutengeneza kitu ambacho kitamzidi yeye 'HANA KIKOMO'

chairman nafikiri hujanielewa hatuwezi kuwa na "unstopable force" na wakati huohuo tukawa na "unmovable material"..huwezi kuwa na mungu anayeweza kila kitu na wakati huohuo kukawa na kitu ambacho hakiwezekani,laws of logic haziruhusu jambo hili,huwezi kujivunia mungu anayeweza kila kitu na wakati huohuo unakubali kuwa kuna vitu haviwezi!
 
Young man Your logic have no capacity to define Gods power .

Your mind can NOT comprehend Infinity how on earth would you be able to use your brain to define The ALMIGHTY Power.

Your mind will go wobly in a minute
 
Unarefusha uzi bila sababu za msingi.
Ngoja nijaribu kukujibu utakavyo wewe.
Mungu hawezi kuumba Kitu chochote kinachozidi uwezo wake.
Kila alicho kiumba na anachoumba kiko chini ya Uwezo wake.

Una swali lingine.
Tafadhali Uliza swali kwa lengo. Sio kuuliza maswali basi Uzi uwe mrefu tu. Kisha uwaambie Rafiki zako kwenye twitter or Facebook "yoh check out my thread its on 500 pages so far and I'm going to make sure i hit 1000 before Christmas "

mkuu,kitu kinachorefusha huu uzi ni maswali yanayojirudia mfano hili,ambalo kwenye post za nyuma nimeshalitolea ufafanuzi,lakini mtu haanzi mwanzo wa thread,bali anakurupuka kuuliza swali lilelile,..anyway, you just admitted that your God's power has limit,and this is best conclusion for our debate!
 
Wapi nime admit kuwa Mungu wangu hana uwezo wote.
We kijana Kiswahili unakifahamu lkn?
Unauliza maswali kimtego ukijibiwa Unatafsiri utakavyo wewe.
Kutokuumba kitu chenye uwezo Zaidi ya MUUMBAJI ndio kunakufahamisha wewe kuwa Huyo Muumbaji HANA Uwezo wote?

We kweli vichekesho,
Kasome Lugha kwanza na kanuni zake Kisha anzisha uzi wa Kujifunza Lugha Usaidiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom