Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,750
na jibu ni akakadabra ,yani miujiza na hapo ndo nasema chochote ambacho mimi sikijui ambacho kimeweza kutengeneza au kufanya hiyo unknown mechanism i term it a name GOD Ili iwe na sense
Kweli kabisa hapo uwepo wa Mungu ndipo unapoonekana