Ommba?, Nomma?! nawasalimu Kisonjo cha Loliondo

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,312
6,770
Jamani naingia mtandaoni kwa salaam ya kisonjo,
Hapo Ommba! nawasalimia wanaume watu wazima na Nomma! kinamama watu wazima....ndicho cha pili nilicho ambulia kwa babu Samunge, Loliondo...
Mengine naamini nanyie wengi mmeenda mwayajua.
 
Karibu sana KISIGINO,
Natumaini hujambo,pamoja na ugeni wako lakini naomba kujua jina lako lina maana gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom