Omg

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
07_11_p3x5re.jpg
 
Imenikumbusha hii video. WTF...... wooooo, wooooo....... Rostam :)



Mikutano mikubwa nchini ya vyama vya upinzani, huwaoni TBC, ila hapa walikuwepo hadi Igunga. One day.....
 
Last edited by a moderator:
wanalia unafiki tu hawana lolote, inawezeka walilipwa kwa ajili ya kulia.
 

Mijitu kama hii inayolia ndo inatufanya tuendelee kupata mateso hadi leo....mijinga kweli na Ilaaniwe.... Kama kuna mtu anaweza kutupatia majina yao kamiili ili tuyafanyie kazi itakuwa bora... Umaskini wetu wote ni hawa wajinga.... Mlaaniwe
 
Njaa mbaya sana. Hasa njaa isiyo na macho, Hapo wanalilia visenti walivyokuwa wakipewa kipindi cha uchaguzi, hawafikirii taifa linapoteza nini na kwa kipindi kirefu kiasi gani. Nasikia hasira sana
 
Hawa ma-bi wakubwa ama wananifanya nione haya! I hope na misiba ya kwao wanalia hivyo hivyo, khaa! Mambo gani haya!
 
hawara ile ile! makahaba wa fedha hao....kwanini wamulilie tajiri, ili hali watanzania wateseka. this party heading to hell!
 
Ni aibu sana jinsi mama zetu hapo pichani walivyotu disappoint kwa kumlilia fisadi kama huyo! lakini its more likely wamelipwa wamlilie maana mmh..!
 
Back
Top Bottom