Elections 2010 OMG - It's happening!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
Mapambazuko yamefika
Ya siku tulongojea
Wananchi wameamka
Hofu kuindolea
Mioyo itashtuka
Kwa yale yatatokea
Tanzania itashinda, Tanzania Itashinda!!

Ndoto tuloiotea
Sasa yaanza timia
Furaha inakolea
Na shangwe yakifania
Pole pole twasogea
Kwaheri kuwaagia
Tanzania itashinda, Tanzania itashinda

.... just to add more drama and pressure... Ninaanza kupata taarifa za ndani sehemu mbalimbali.. stay tuned... Karibu halmashauri 7 za mijini zimeenda Chadema!!! Arusha ya kwanza..
 
Wamebana wameachia!!! wamebana wameachia!!!

Unajua ilikuwa SIMPLE - Kuamua au kukataa. Wanancgi wameamua. Bado mapema though...lkn dalili ya mvua ni mawingu! - a toad has jumped in a broad daylight and this means something is happening!!
 
Baba nimekubari ubeti unatisha,tukishinda tutamwambia dr wa ukweli aangalie aangalie
mapinduziiiii daimaaaaa
 
Mapambazuko yamefika
Ya siku tulongojea
Wananchi wameamka
Hofu kuindolea
Mioyo itashtuka
Kwa yale yatatokea
Tanzania itashinda, Tanzania Itashinda!!

Ndoto tuloiotea
Sasa yaanza timia
Furaha inakolea
Na shangwe yakifania
Pole pole twasogea
Kwaheri kuwaagia
Tanzania itashinda, Tanzania itashinda

.... just to add more drama and pressure... Ninaanza kupata taarifa za ndani sehemu mbalimbali.. stay tuned... Karibu halmashauri 7 za mijini zimeenda Chadema!!! Arusha ya kwanza..

Mwanakijiji we ni balaa, kumbe umo.
Another hope to my piece of mind...Thank you.
 
revolution, redeem, revolution, uuuh, it has been a revolution, to make a solution hata bob aliimba jamani
 
Where spiritual faith is ................the Almighty God is.....................................................
 
Mapambazuko yamefika
Ya siku tulongojea
Wananchi wameamka
Hofu kuindolea
Mioyo itashtuka
Kwa yale yatatokea
Tanzania itashinda, Tanzania Itashinda!!

Ndoto tuloiotea
Sasa yaanza timia
Furaha inakolea
Na shangwe yakifania
Pole pole twasogea
Kwaheri kuwaagia
Tanzania itashinda, Tanzania itashinda

.... just to add more drama and pressure... Ninaanza kupata taarifa za ndani sehemu mbalimbali.. stay tuned... Karibu halmashauri 7 za mijini zimeenda Chadema!!! Arusha ya kwanza..
AAAHHAHhahahh mwana kjj yaani umeshusha mashairi ndani ya dk moja
nimekuballi man
 
Tu tayari kupokea,
Mola alotwandalia,
Kiongozi tushushia,
Yule tulosubiria,

Roho yangu inadunda,
Shinikizo linapanda,
Kwa mbegu tuliyopanda,
Mola kushusha matunda!
 
safi kabisa!!!!!

Mkjj mpaka ikifika saa sita mchana nyimbo zitakuwa zimebadilika. Huyu mnyama wa kijani bado anatupa miguu na kugumia inavyoelekea kuna nguvu inaandaliwa kumuinua. Take my words kura za vijijini ni game changer, kwa maana ya kwamba ghosts voters huko ni possible.
 
Nyota ya alfajiri ndio hiyo inaliakisi jua la mapambazuko ambalo tayari sasa limeileta siku mpya katika historia ya nchi yetu.
 
Mapambazuko yamefika
Ya siku tulongojea
Wananchi wameamka
Hofu kuindolea
Mioyo itashtuka
Kwa yale yatatokea
Tanzania itashinda, Tanzania Itashinda!!

Ndoto tuloiotea
Sasa yaanza timia
Furaha inakolea
Na shangwe yakifania
Pole pole twasogea
Kwaheri kuwaagia
Tanzania itashinda, Tanzania itashinda

.... just to add more drama and pressure... Ninaanza kupata taarifa za ndani sehemu mbalimbali.. stay tuned... Karibu halmashauri 7 za mijini zimeenda Chadema!!! Arusha ya kwanza..
Mkuu aminia,
shairi wamiminia,
beti kupangilia,
wameamua watanzania.

Haki kupigania,
Enzi kufanikia,
kalamu kuitumia,
wameamua watanzania.

Arobaini kusubiria,
huba kuililia,
dirisha kufungukia,
wameamua watanzania.

mwanakijiji nakuambia,
u-mahiri kupindukia,
kimoja nakuapia
KUCHORA hujajulia
TUMEAMUA WATANZANIA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom