OMG! Christina Aguilera’s Period started suddenly on stage

si kweli kabsaa..damu inapoanza kutoka haiji kama bomba hivyo kama ndo imemuanza ni lazma vingetoka kidogo siku ya pili au baada ya masaa 6 nakuendelea ndo damu hutoka kwa kasi..lakin siku ya kwanza tena kaw muda huo huo damu itoke vile...labda kama ameharibu mimba.
 
Jamani, nauliza wanawake wote wakikaribia period they get that feeling or atleast you know your dates. Where is the panty liners for precaution, yaani bonge la NOMARR
Mademe X nilifikiri pia unaelewa kuna siku mtu anapata hali hiyo siku si zake kutokana na mshtuko au ukiwa too immotional!.
 
Mkuu MTM, hivi vitu sisi Waafrika huwa hatuvizungumzii kwa heshima ya mama zetu!. Masikini dada wa watu!, haikuwa siku zake lakini hali hiyo imesababishwa na shock ya kuwa too emotional.

Asante Pasco kwa kutambua hilo.I cannot imagine the anguish she went through....
 
Yuck!!

But didn't she feel it dripping down her legs?

Mother Peggy decided to arrive unannounced! Hata angeskia angefanyaje na imeshatokea? Nimeona kajitahidi kuvaa sketi "ndefu" ila ingekuwa ndefu enough huenda embarrassment ingepungua...by the time she left the stage na watu kuona, angeshapata namna ya kujistiri.Nadhani fundisho wamelipata wengine na watachukua tahadhari.
 
Kama umeangalia video ni ngumu kudhani kuwa hiyo ni damu.

Wakati tayari alishaanza kujifuta alipopanda tu kwenye stage, kwa dakika saba nzima aliendelea kutanua miguu, time and time again.

Kwa yoyote mwenye akili timamu baada ya kujua hilo, angejitahidi kubana miguu.

Plausible explanation labda ni spray ya kugeuza rangi, imeyayuka kutokana na joto na jasho

Mother Peggy decided to arrive unannounced! Hata angeskia angefanyaje na imeshatokea? Nimeona kajitahidi kuvaa sketi "ndefu" ila ingekuwa ndefu enough huenda embarrassment ingepungua...by the time she left the stage na watu kuona, angeshapata namna ya kujistiri.Nadhani fundisho wamelipata wengine na watachukua tahadhari.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hakuna damu ya mwezini inayotoka ghafla hivyo kwa siku ya kwanza, labda kama alikuwa na mimba imekaharibika ghafla tutamwelewa..
 
aiseeeeeeee.....arifu hii kitu nasikia hawa watasha hawavai gagulo AKA nguo ya ndani....may be ingemsitiri......
 
Ngoja siku mmoja na mwimbaji wa hapa bongo imtokeee duh! Mbaya sanaaa:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Whatever the case may be, it is just a major faux pas to have darkish, reddish, brownish things dripping down your legs in public like that.

She just provided some good fodder for the gossip tabloids and blogs! Poor thang.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hizi ajali hutokea arifu. Tumeziona sana mashuleni na hata makazini.
aisee ajali ya kudhalilisha sana......ni kweli lakini huyu angekuwa kavaa nguo ya ndani labda zisingefika uko....inasemekana hakuvaa....
 
Nakubaliana na wewe! Kama sio miscarriage basi anaweza kuwa na hormonal issues. Anyways, kuna asiejua mwanamke huvuja damu? Well, ndo kama hiyo!
si kweli kabsaa..damu inapoanza kutoka haiji kama bomba hivyo kama ndo imemuanza ni lazma vingetoka kidogo siku ya pili au baada ya masaa 6 nakuendelea ndo damu hutoka kwa kasi..lakin siku ya kwanza tena kaw muda huo huo damu itoke vile...labda kama ameharibu mimba.
 
Bado siamini ilikua ni period. . .
Ila kama ni kweli basi ngozi yake itakua sio sensitive kabisa maana ni ngumu kitu kuchuruzika namna hiyo na mtu asihisi.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom