Ombi: Makala za salva na prince

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Wana JF

Kuna mtu ambaye kwenye archive yake ana makala walizowahi kuandika akina Salva Rweyemamu na Prince Mahinja Bagenda katika gazeti la Rai (ya Ulimwengu) kabla hawajarudi kwao CCM?

Napenda somo la Historia.
 
Back
Top Bottom