Ombi maalum kwa modes

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
jf imekua ulimwengu kwa watu wengi, kuna kitu tunakikosa huku. . .naomba ombi maalum kwa modes ianzishwe mahakama maalum ya jf, itakayoamua kesi za humu humu ndani.
Ni maoni tu nakaribisha 'attacks' na supports zenu, naomba kuwasilisha hoja.
 
Mahakama ipo,ni lile jukwaa la Congrats,Advice and complaints.
Ukiwa na suala lako unapeleka tu kule,au unaweza kuwasiliana na mahakimu(mods) through report abuse.
 
Back
Top Bottom