OMBI MAALUM: Je unamfahamu Anayedaiwa Kubakwa na Makamba?

Status
Not open for further replies.

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,614
OMBI MAALUM: Je unamfahamu Anayedaiwa Kubakwa na Makamba?

Wenye busara zao wanatuusia kuwa pindi ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo then sio wazo jema ku-entertain kurusha mawe.Mantiki ya msemo huo ni kwamba kama una ishu zenye utata katika maisha yako then sio wazo jema kuanza kushupalia ishu za watu wengi lest flani akakugeuzia kibao.

Lakini usemi huo umeonekana hauna maana kwa Katibu Mkuu wa CCM,Yusuph Makamba,ambaye kwa siku kadhaa sasa ameamua "kuvalia njuga maisha binafsi ya Dokta Wilbroad Slaa" na kuligeuza suala la ndoa ya mgombea huyo wa Chadema kuwa ajenda ya uchaguzi.

Pengine ni dharau au ujinga,Makamba alijisahau kuwa wakati anamnyooshea kidole Dkt Slaa,yeye mwenyewe (Makamba) alikuwa na doa linaloweza kabisa kumpeleka jela.Kwa mujibu wa taarifa zilizozagaa mtandaoni,Makamba anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wakati akiwa mwalimu mkuu wa shule moja na hatimaye kufukuzwa ualimu.

Hizi ni tuhuma nzito sana kwani licha ya kumtia doa Makamba kama mwanasiasa,ni suala linaloweza kumpeleka jela endapo victim wake atajitokeza hadharani,na kupatiwa msaada wa kisheria.Lakini tukiweka ishu za kisiasa kando,hapa kuna suala la binti asiye na hatia ambaye inadaiwa alibakwa na mtu aliyekabidhiwa dhamana ya kumpatia elimu na mwongozo katika maisha yake,mwalimu wake,lakini akaishi kubakwa.

Blogu hii inatoa ombi maalum kwa yeyote yule anayeweza kuipatia taarifa za uhakika kuhusu binti huyo anayedaiwa kubakwa na Makamba.Lengo si kumkomoa mtuhumiwa bali kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake as well as kutoa reminder kwa watu wengine wanaotumia vibaya dhamana walizokabidhiwa,iwe mashuleni,makazini au hata katika ngazi ya familia.

Je unamfahamu binti anayedaiwa kubakwa na Makamba?Kama jibu ni ndiyo basi tafadhali sana tuwasiliane kwa barua pepe kwa anuani hii epgc2@yahoo.co.uk.

source: KULIKONI UGHAIBUNI
 
Kwa signature yako hata usihangaike mwambie Slaa atakupeleka hadi anapokaa, yeye anamjua wengine humu utakuwa unawaonea tu.
 
inawezekana umevuta hisia zetu tulio wengi lakini mkuu unakumbuka jf rules?
 
inawezekana umevuta hisia zetu tulio wengi lakini mkuu unakumbuka jf rules?
kbaka ni kubaka tu hata kama kulifanyika miaka hamsini iliyopita,viongozi wangapi wa nchi za wenzetu wanaomba msamahama kwa makosa yaliyotendeka kwenye tawala za nyuma za nchi zao kwa nchi nyingine?hapa hakuna jmii rules,huyo aliyebakwa ajulikane kwani hizo psychological effects anazo hadi sasa,asaidiwe kupata haki yake
 
Kwa signature yako hata usihangaike mwambie Slaa atakupeleka hadi anapokaa, yeye anamjua wengine humu utakuwa unawaonea tu.
kama ni mwanaume,basi ni mwanaume suruali,lini utashirikisha ubongo wako?
 
kama ni mwanaume,basi ni mwanaume suruali,lini utashirikisha ubongo wako?

kwa jina hilo naelewa kabisa hasira zako, ila ungekuwa ni Nzowa, mwanalinze, rutashobya ningekujibu, hapo bado hamjapewa nchi mnayoitaka mkipewa si mtachinja watu nyie wezi.
 
kwa jina hilo naelewa kabisa hasira zako, ila ungekuwa ni Nzowa, mwanalinze, rutashobya ningekujibu, hapo bado hamjapewa nchi mnayoitaka mkipewa si mtachinja watu nyie wezi.

kumbe una mawazo ya hovyo to this level..
 
kwa jina hilo naelewa kabisa hasira zako, ila ungekuwa ni Nzowa, mwanalinze, rutashobya ningekujibu, hapo bado hamjapewa nchi mnayoitaka mkipewa si mtachinja watu nyie wezi.

sikushangai lakini dume zima unavaa kipini/hereni sikioni
 
kwa jina hilo naelewa kabisa hasira zako, ila ungekuwa ni Nzowa, mwanalinze, rutashobya ningekujibu, hapo bado hamjapewa nchi mnayoitaka mkipewa si mtachinja watu nyie wezi.

una maana gani kumwita mwenzio mwizi badala ya kujibu hoja, we unavyovaa hereni tukisema unachakachuliwa utakataa?
 
Tumkamate Makamba, tumfunge kamba, kisha tuzibane k******ni mpaka aseme....
 
Tuko nawe mdau, mpaka kieleweke, yeye yule Mwamvita wake angebakwa angekubali na kusamehe, si ndio angesoma biblia na quran zote duniani kutaka huyo mhusika albadili imkute? tuko tayari kuchangia garama za kumtafutia huyo binti haki stahiki.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom