Ombi la TANESCO.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Nimesikia kupitia kituo kimoja cha Radio kwamba TANESCO wamepeleka ombi EWURA kuomba waruhusiwe kupandisha bei ya units za umeme kwa 150%.Endapo watakubaliwa,basi bei ya umeme itapanda kutoka sh.60/unit~sh.153/unit kuanzia january mwakani.
 
Ningekuwa mimi ningepitisha special audit kwa Tanasco na kuwapa report inayoonyesha wanavyofuja pesa na unawaambia zibeni iyo mianya upotevu wa hela za nchi ndo tutapandisha umeme
Alafu tukiawa full swing na matumizi ya gesi iyo bei itashukaaaaaaaaaaaaaaaaa?
 
Dooo !!!!!!! kweli hii ndo miaka 50 ya uhuru.TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE !!!!!
 
Nadhani EWURA na TANESCO ni watu wapumbavu ambao hawajui hata sentiments za wananchi. Wanaingia mikataba ya kishenzi na wanataka watanzania walipie ushenzi wao!
 
Nimeona tangazo la EWURA kwene gazeti jana au juzi..cha msingi kwa wale wene nafasi wawekeze kwene solar, zigo la kulipa madeni ya TANESCO kutokana na mikataba ya dizaini za akina chifu Mangungu ndo twabebeshwa sisi..twafa.
 
Nadhani EWURA na TANESCO ni watu wapumbavu ambao hawajui hata sentiments za wananchi. Wanaingia mikataba ya kishenzi na wanataka watanzania walipie ushenzi wao!

Wana Jf mtakumbuka kikao kilichopita cha bajeti cha bunge ambapo akina Ngeleja, Jairo walipoleta walitumia fedha nyingi kutaka kupitisha bajeti yao ikabidi irudishwe mpaka Pinda alipoamua kuongeza fedha kweny budget. Fedha hizo alizoongeza ndiyo hizo anataka mzilipe kwa kulipia bei kubwa za umeme na mtashangaa Ewura watapunguza asilimia ndogo tu na mtz kubebeshwa aigo la Pinda. Kwa hili Pinda ndiye adui yetu namba 1
 
Nimesikia kupitia kituo kimoja cha Radio kwamba TANESCO wamepeleka ombi EWURA kuomba waruhusiwe kupandisha bei ya units za umeme kwa 150%.Endapo watakubaliwa,basi bei ya umeme itapanda kutoka sh.60/unit~sh.153/unit kuanzia january mwakani.

mkuu unt kwasasa ni 180 TSH. hilo ongezeko litafanya iwe kama 460 hivi ........
check karatas ya luku......
TUNAVUKA VILELE
 
Duh Kama nikuhama nchi wakati ndio huu jamani!juzi tu wameongeza kwa wale wanaotumia zaidi ya unit 50 kwa mwezi tena Leo wanataka nyongeza?mm namshauri Mheshiwa Mhando kwanza asafishe wafanyakazi wake wengi wanahujumu shirika na majina tunayo Kama anataka tutampa then ndio atwangalie sisi walalahoi Kama anaweza kutupunguzia huu mzigo wa umeme Ili wengi tuunganishe.
 
hii nchi inavyokenda ndiyo maana wanapewa siku 100!!!
kodi zetu zinaliwa kila wizara alafu wanatuongezea gharama kila sehemu, (Mafuta, umeme, vifaa vya ujenzi). huku watz wengi wakiwa hawana ajira..
 
Duh Kama nikuhama nchi wakati ndio huu jamani!juzi tu wameongeza kwa wale wanaotumia zaidi ya unit 50 kwa mwezi tena Leo wanataka nyongeza?mm namshauri Mheshiwa Mhando kwanza asafishe wafanyakazi wake wengi wanahujumu shirika na majina tunayo Kama anataka tutampa then ndio atwangalie sisi walalahoi Kama anaweza kutupunguzia huu mzigo wa umeme Ili wengi tuunganishe.
 
mkuu unt kwasasa ni 180 TSH. hilo ongezeko litafanya iwe kama 460 hivi ........
check karatas ya luku......
TUNAVUKA VILELE
Anyway,mi nimesikia tu radioni,sema wao huwa wanatoa mchanganuo wa rate zao.Huwa zinatofautishwa kuanzia matumizi ya kawaida ya nyumbani,kibiashara na yale ya viwanda vikubwa.
 
Duh Kama nikuhama nchi wakati ndio huu jamani!juzi tu wameongeza kwa wale wanaotumia zaidi ya unit 50 kwa mwezi tena Leo wanataka nyongeza?mm namshauri Mheshiwa Mhando kwanza asafishe wafanyakazi wake wengi wanahujumu shirika na majina tunayo Kama anataka tutampa then ndio atwangalie sisi walalahoi Kama anaweza kutupunguzia huu mzigo wa umeme Ili wengi tuunganishe.
We unafikiri watailipaje Dowans?tuvumilie tu Dowans wakilipwa bei itarudi pale pale.
 
Umeme uwe unauzwa kama vocha za simu,ili kupunguza wale wasoma mita na wauza luku ili shirika lipunguze gharama za uendeshaji.
Vinginevyo vibatari hivyoo vinanyemelea
 
Ndo kusema,2livyokataa kuwalipa Dowans DIRECT...sasa wana2lipisha Dowans INDIRECT kupitia kupandisha gharama...kweli this is Tanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom