Ombi la kiimani kwa mtumishi pdidy

Laura Mkaju

Senior Member
Jan 31, 2011
194
40
Naomba kabisa kwa upendo wa Mungu i na kwa imani uniwekee hapa SALA YA KUKEMEA MAPEPO (MAJINI MAHABA) nimegundua ninasumbuliwa sana na haya mapepo, Itakuwa vema nawe unapokuwa kwenye maombi yako nami niwe mmoja wao. Asante
 
hivi unakuwa unajuaje kuwa una jini mahaba?

haha hapa bana ninarafiki yangu mmoja alikuwa na hayo madubwasha yani yeye akiongea na mwanamke tu hata kwenye simu amemaliza kazi, ukimwacha na binti basi binti anakuja tu kujikuta akivaa nguo ya ndani, watu bana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom