Sisi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya Tanga mkoa Wa Tanga jumamosi hii tarehe 3/3/2012 saa 9 alasiri kutakua na mkutano wa wanakijiji wote na tunatarajia kufanya maamuzi mazito kuhusu mwenyekiti wetu aliye poteza sifa ya uongozi kwa kushindwa kuitisha mikutano toka mwaka 2009 alivyoingia madarakani ambavyo ni kinyume na kanuni ya uongozi iliyowekwa TAMISEMI Nakumbiwa macho na mamlaka zote husika
TUNAOMBA WANAHABARI WOTE MLIOKO MKOANI TANGA MJE MTUSAIDIE KUPAZA SAUTI ZETU WAKAZI WA KICHANGANI KATA MAWENI
TUNAOMBA WANAHABARI WOTE MLIOKO MKOANI TANGA MJE MTUSAIDIE KUPAZA SAUTI ZETU WAKAZI WA KICHANGANI KATA MAWENI