Ombi kwa viongzozi wa chadema ambao hamjakamatwa, wananchi tunasubiri nini tufanye

Nicazius

Senior Member
Feb 6, 2008
143
17
OMBI KWA VIONGZOZI WA CHADEMA AMBAO HAMJAKAMATWA, WANANCHI TUNASUBIRI NINI TUFANYE

Wananchi tulio wengi tunasubiria angalizo la nini tufanye ili kuionyesha CCM na Vibaraka wao kuwa tunauchungu na nchi hii na wala hatuko tayari kuona wananchi wakipingwa kwa mabomu, risasi za moto, virungu etc. ili kurudisha juhudi zetu nyuma...

Nchi hii si mali ya kikundi fulani au baadhi ya wananchi ambao ni watawala na wanachama wa CCM na mafisadi wao, na wala si nchi inayofuata utawala wa kiimra na kifalme, sipo tayari kama Mtanzania mzawa kuona nchi yangu ikipelekwa kule wao wapenda rushwa kubwa na ndogo, ufisadi wanataka.

Tafadhali viongozi mliopo nje bado hamjakamatwa tupeni mwelekeo nini tufanye, tupo tayari kwa
lolote lile, tumechoka longo longo.

:angry:
 
lolote lile, tumechoka longo longo.TUPO PAMOJA MZEE....
 
zito kabwe, sema kitu tunataka tuuone ujasiri wako kwa vitendo sasa., toa kauli nchi iingie katika sura mpya ya mapinduzi ya kweli naya kihistoria ambayo tumekua tukisubiria kwa miaka mingi.
 
Mkuu akitamka hicho mnachotaka utashiriki kweli? au utakuwa unaangalia ktk luninga
 
watu zaidi ya 10 wameshapigwa risasi mpaka sasa na wamekufa source BBC network africa Saa 3 usiku
 
zito kabwe, sema kitu tunataka tuuone ujasiri wako kwa vitendo sasa., toa kauli nchi iingie katika sura mpya ya mapinduzi ya kweli naya kihistoria ambayo tumekua tukisubiria kwa miaka mingi.

Viongozi wanamapinduzi chadema wapo ila siyo Zito. Huyu ni kibaraka wa ccm na niyo maana alikuwa anakimbilia uenyekiti wa upinzani ili afunike mambo. NAUNGA MKONO HOJA MIA KWA MIA, VIONGOZI WALIOBAKI WATOE TAMKO (SIYO ZITO).
 
Zitto alikuta maganda ya risasi ofisini kwake Kigoma baada ya vurugu hakuna aliyeenda kumsaidia, leo naona amesoma upepo ngoja tusubiri atatoa tamko au anasubiri Bungeni kuja kumwaga mabomu yake
 
Mkuu akitamka hicho mnatochaka utashiriki kweli? au utakuwa unaangalia ktk luninga

Kuna baadhi ya wanaJF wachochezi kweli kweli, na wengi wao wao nje ya nchi. Likitokea la kutokea nawaishia kusema pole, aluta continua, viongozi tuambieni tufanye nini.....etc wakiwa mbele screens zao.
 
Mnyika, Lissu, Marando, Mdee, Baregu wake up men, give out modalities
 
OMBI KWA VIONGZOZI WA CHADEMA AMBAO HAMJAKAMATWA, WANANCHI TUNASUBIRI NINI TUFANYE

Wananchi tulio wengi tunasubiria angalizo la nini tufanye ili kuionyesha CCM na Vibaraka wao kuwa tunauchungu na nchi hii na wala hatuko tayari kuona wananchi wakipingwa kwa mabomu, risasi za moto, virungu etc. ili kurudisha juhudi zetu nyuma...

Nchi hii si mali ya kikundi fulani au baadhi ya wananchi ambao ni watawala na wanachama wa CCM na mafisadi wao, na wala si nchi inayofuata utawala wa kiimra na kifalme, sipo tayari kama Mtanzania mzawa kuona nchi yangu ikipelekwa kule wao wapenda rushwa kubwa na ndogo, ufisadi wanataka.

Tafadhali viongozi mliopo nje bado hamjakamatwa tupeni mwelekeo nini tufanye, tupo tayari kwa
lolote lile, tumechoka longo longo.

:angry:
I vehemently condemn the maiming and killing of our innocent brothers and sisters. We must avenge the blood spilled by CCM henchmen directed by this devil named Kikwete. Kikwete and CCM must be made to regret. It is the duty of every sincere and patriotic Tanzanian to effect this through any possible means. God Bless Tanzania.
 
Ndugu wananchi tuache jazba na hamaki!! damu ya watanzania wenzetu Polisi na Raia imemwagika!!! wakati huu si wakati wa kuchochea chuki na kuropoka kila kinachotoka mdomoni matokeo yake ni kupalilia chuki na kuzidisha machafuko huku wanaoathirika ni binaadamu wezetu!!

Huu ni wakati wa kutuliza bongo na kupunguza hamasa ili hasira za wananchi zisizidi mipaka na tuiombee nchi yetu Amani kwani hakuna kitu muhimu zaidi kwa sasa kuliko utulivu! tukizidi kuchochea chuki na hasira ndugu zangu tutajikuta tunaingia ktk kapu waliloingia majirani wenzetu wa Kenya, Rwanda, Burundi, Somalia nk!!!

Hasa JF great thinkers nawaomba tuache JAZBA na Katu tusichochee moto! wengi wa JF hawako Bongo wako Ulaya na Marekani! kauli zenu zitasababisha machafuko ya kisiasa na mwisho wake ni mbaya kwani utabadilika kuwa wa kisiasa na kuwa wa kidini na kikabila!!!

Mimi nalaani mauaji haya bila kujali alieuwawa ni Polisi au Raia lakini kwa sasa natanguliza Amani kwanza halafu sheria ije baadae!!!
 
zito kabwe, sema kitu tunataka tuuone ujasiri wako kwa vitendo sasa., toa kauli nchi iingie katika sura mpya ya mapinduzi ya kweli naya kihistoria ambayo tumekua tukisubiria kwa miaka mingi.
Zitto keshatoa kauli asubuhi hii akihojiwa na BBC idhaa ya kiswahili,alichoongea nikwamba viongozi wa Chadema wamekamatwa na inasemekana watafikishwa Mahakamani leo hii so kikubwa kinachofanyika nikujindaa kuwawekea Dhamana .
 
Inasikitisha watu kuuliwa kwa kitu kidogo kama maandamano.

Jeshi la polisi lina jukumu la kulinda raia sio kuwapiga na kuwajeruhi.

Viongozi wa vyama nao wafanye kazi ya kuwadhibiti wafuasi wao, hakukuwa na haja ya kwenda kukusanyika kituo cha polisi
 
zito kabwe, sema kitu tunataka tuuone ujasiri wako kwa vitendo sasa., toa kauli nchi iingie katika sura mpya ya mapinduzi ya kweli naya kihistoria ambayo tumekua tukisubiria kwa miaka mingi.

zitto? conspiracy?
 
Back
Top Bottom