Ombi kwa Dr. Slaa na Mnyika

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Kosa kubwa baba wa Taifa alilofanya ni kutokuandaa viongozi wenye fikra na mitizamo kama yake na ndio maana wengi waliomfuata wamevuruga vuruga.

Dr. Na Mnyika naona kama viongozi wa class ya pekee kwa taifa hili naomba mniandae na mimi kuwa kama nyie na vijana wengine ambao wana wito wa kuwa kiongozi wa watu na sio tumbo zao, "Political Mentor"

Natumaini ombi langu mtalifanyia kazi.

Heri ya mwaka mpya 2012 niko kisiasa zaidi.
 
kama jf ndipo pa kuombea ombi hili!!basi wewe political mentor wako ni STEVEN MASATU WASIRA,huyo ndio anakufaa.
 
Sasa mambo mengine sasa wewe njina lako kwanza sijuwi ni likitu gani then ufundishwe wafundishe mzimu wewe ujitokezi kuunga mkono CDM na harakati zake.Nenda OFISINI ukapate maelekezo
 
Dr. Slaa ndiyo mmoja ya masalia machache aliyoyaacha Mwalimu! huyu ndiye aina ya watu wanaofaa kuiongoza nchi yetu Tanzania, ni mtu mwenye uchungu na nchi yake, na hili amelionyesha kwa vitendo!
Hongera Dr. Slaa, tunakusubiri uingie Ikulu kwa Kishindo 2015.
Ila nahisi kama vile kuna Presidential by Election vile!
 
Hujakosea kuwa kuna presidential by Election kwani Lubuva ametuhakikishia kuwa hana jipya so ataendelea kuchakachua kura za Dr.
 
ukweli unauma!!!lakini Tyson ndio political mentor wako kwa comments zako!!!

Sitaki kutokwa povu kama wewe ila najua kuwa una mdate mtoto wake yule anayeakaa pale mikocheni anafanana sana na baba yake, kwa hio unamtafutia baba mkwe soko? Unataka na mimi nikalale bungeni?
 
Sasa mambo mengine sasa wewe njina lako kwanza sijuwi ni likitu gani then ufundishwe wafundishe mzimu wewe ujitokezi kuunga mkono CDM na harakati zake.Nenda OFISINI ukapate maelekezo

Wasalimie Rorya
 
kama jf ndipo pa kuombea ombi hili!!basi wewe political mentor wako ni STEVEN MASATU WASIRA,huyo ndio anakufaa.

TATIZO HUMU WATU WENGINE WANAJIONA JF NI YAO NNA MAWAZO YAO NDO YA MUHIMU SANA. KUNA SEHEMU MUWE MNAJIFIKILIA KWANZA KABLA YA KUMJIBU MTU, KWANI KOSA LAKE NI LIPI? YOU HAVE TO THINK OUTSIDE THE BOX..... ANACHOKIONGELEA MWENZAKO SI KINACHOMHUSU YEYE BALI ANAONGELEA UONGOZI MZURI WANAOUNYESHA DR NA MNYIKA UWE CHACHU KWA VIJANA WOTE(INGAWA MIMI SIJARIDHIKA BADO NA UONGOZI WAO) ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA HALISI. LAKINI MNAKURUPUKA KUMKATISHA TAMAA MWENZIO ANAETAKA KUJIFUNZA....WATU KAMA NINYI MNAOJIFANYA MUCH KNOW HUMU JF HAMJUI UCHANGIAJI WA MAWAZO ILA UKURUPUKAJI TU. NAHISI HATA JF MEMBERS MNA UDINI HUMU.
 
Back
Top Bottom