OMBI: Kujitolea kuwa mwangalizi wa uchaguzi siku ya Jumapili

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Wakuu,

Kwa wale ambao wapo Dar es Salaam, tunaomba wanaoweza kujitolea na kushirikiana nasi kwenye uangalizi wa uchaguzi tuwasiliane ili tuweze kuifanya kazi hii kwa ushirikiano na kwa ufanisi zaidi.

Kituo kitakuwa LHRC (Kijitonyama) na tunaweza kuwapa training ya haraka kwa siku ya Ijumaa na Jumamosi kabla ya kufanya shughuli yenyewe rasmi siku ya Jumapili.

Walio tayari wanaweza kuwasiliana nami kupitia:

maxence.melo@jamiimedia.com
au +255 713 444 649

Shukrani
 
ni kwa wa dar tu mkuu ?

maxence.melo@jamiimedia.com au +255 713 444 649

Shukrani
 
Mkuu nimekutumia Email,

Watu wa CHADEMA, pamoja na kuwasiliana nao hata kabla sijaja TZ na kuwambia niko tayari kujitolea kwa maswala ya kulinda kura na mambo kama hayo, na kujaribu kuwatafuta baada ya kufika hapa Dar, nimeishia ku-conclude kuwa wako so busy!!! na ni kweli wako busy anyway!

So count me in I'm more than happy to help from JF angle.

Thanks,

MC
 
Mimi mgeni humu, huku kujitolea hakuna sifa zozote, kwa mfamo uwe mwanachama wa chama fulani, umri, shule n.k wengine hatujui kusoma ebo!
 
Kwa mfano nikijitolea kura yangu inakuwaje sasa' maana lazma niitwange siku hiyo.. km naweza kusimamia afu na nkapiga na kura yangu naomba nkutafute kesho mapema tuu'
 
Wakuu,

Kwa wale ambao wapo Dar es Salaam, tunaomba wanaoweza kujitolea na kushirikiana nasi kwenye uangalizi wa uchaguzi tuwasiliane ili tuweze kuifanya kazi hii kwa ushirikiano na kwa ufanisi zaidi.

Kituo kitakuwa LHRC (Kijitonyama) na tunaweza kuwapa training ya haraka kwa siku ya Ijumaa na Jumamosi kabla ya kufanya shughuli yenyewe rasmi siku ya Jumapili.

Walio tayari wanaweza kuwasiliana nami kupitia:

maxence.melo@jamiimedia.com
au +255 713 444 649

Shukrani

Napiga namba yako haipatikani. Mimi ningefurahi kuwa mmoja wao, je nitapiga kura kwanza au hakuna kupiga kura ukiwa mwangalizi?
 
Mikoani vipi? But sijaelewa vizuri max.Tuwe waangalizi kivipi? yaani tunahakikisha CUF hawaobi kura za TLP wala Chadema hawaibi za CCM? Naombeni darasa hapa jamani
 
Back
Top Bottom